👉🏾Nchi zinazoendelea zimekuwa zikitegemea misaada ya wahisani ili kugharamia maendeleo katika sekta mbalimbali, lakini misaada hii mara nyingi inakuja na mzigo wa madeni. Madeni haya yanaweza kudhoofisha uchumi na kuzuia maendeleo ya kudumu, huku mataifa haya yakikosa uhuru wa kiuchumi.
source...
Mkutano wa 29 wa Umoja wa Mataifa wa Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi (COP29) umefungwa hivi karibuni huko Baku, mji mkuu wa Azerbaijan, na nchi mbalimbali zimefikia makubaliano kwamba, nchi zilizoendelea zitatoa angalau dola bilioni 300 za Kimarekani kila mwaka hadi mwaka 2035, ili...
Kwa hali ilivyo hasa katika sekta ya elimu, afya, ulinzi na TEHAMA kuna uhaba mkubwa sana wa mtumishi.
Kwa nchi za Afrika hauwezi kusema kuna ukosefu wa ajira, hapana, changamoto iliyopo ni serikali hazina pesa ya kutosha kuajiri, baadhi ya sekta hasa nilizoorodhesa hapo juu kuna uhitaji mkubwa...
Matajiri wengi katika nchi zinazoendelea, kama Tanzania, huwekeza kwenye miradi ambayo huenda isilete manufaa moja kwa moja kwa uchumi wa nchi. Kwasababu:-
1. Kutegemea Usindikaji wa Pili na Sekta Zinazotegemea Uagizaji wa Bidhaa kutoka Nje
Kutegemea Uagizaji: Mabilionea katika nchi kama...
Katika siku za karibuni kongamano hilo lililopewa jina la "Jukwaa la Tatu la Kimataifa la Demokrasia: Maadili ya Pamoja ya Binadamu," lilifanyika mjini Beijing. Lengo la kongamano hilo lilikuwa ni kuwaleta pamoja washiriki kutoka nchi za magharibi na nchi za kusini, kujadili kwa njia ya wazi...
Baada ya maandalizi ya miezi kadhaa na mikutano rasmi iliyofanyika kwa siku tano, kikao cha sita cha Baraza la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEA-6) kilichofanyika mjini Nairobi, Kenya, hatimaye kimefikia tamati. Kikao hicho kilichoanza tarehe 26 Februari hadi Machi 1, kilipitisha maazimio 15...
Kati ya vifaa vyote vinavyopatikana na uwezo wa mtandao, simu za mkononi kwa ujumla ndizo zenye bei nafuu Zaidi ukilinganisha na laptop nk. Utafiti uliofanywa Septemba 2021, ulithibitisha kuwa simu za mkononi ni zana muhimu zinazoweza kutumika kwa mtandao, watumiaji wa simu za mkononi waliripoti...
Suala la Ajira ni cross culting issuers katika nchi zinazoendelea Kwa sababu Uchumi katika nchi hizi umeshikiliwa na watu wachache siyo Jumuishi wala shirikishi. (Inclusive economy) matokeo yake Uchumi huu umeshindwa kuzalisha Ajira kama ilivyotegemewa na Sayansi ya kuwa (Jobs are created by...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.