nchimbi mgombea mwenza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    Pre GE2025 Nchimbi alipewa onyo kali huku wengine wakifuzwa uanachama kwa kumkataa Magufuli na Samia 2015. Kupitishwa kama Mgombea Mwenza wa Samia ni Mtego?

    Wakuu, Mwaka 2017 Dkt. Nchimbi alipewa onyo kali huku wanachama wengine wakivuliwa uachama kutokana na utovu wa nidhamu kwenye chama baada ya kumkataa Magufuli na kumsapoti Lowasa kwenye Uchaguzi Mkuu 2015 - Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali...
  2. CM 1774858

    Pre GE2025 CCM yamchagua Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza katika Uchaguzi wa Oktoba 2025

    === Wana jamii forum hii ndio habari kuu mpya toka mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa kuwa Mhe Dkt Emmanuel Nchimbi ndio Mgombea mwezi wa CCM katika Uchaguzi Mkuu Ujao Oct 2025. Uteuzi na mabadiliko haya yataanza rasmi baada ya mwezi July Bunge litakapovunjwa hivyo Dkt Philip...
Back
Top Bottom