Wakuu,
Mwaka 2017 Dkt. Nchimbi alipewa onyo kali huku wanachama wengine wakivuliwa uachama kutokana na utovu wa nidhamu kwenye chama baada ya kumkataa Magufuli na kumsapoti Lowasa kwenye Uchaguzi Mkuu 2015 - Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali...