Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika CCM ni Baba lao, ni tumaini la watanzania,ni nuru ya wanyonge,ni nyota ya matumaini.Hiki chama ndio kimebeba matumaini ya mamilioni ya watanzania.ndio kimeshikilia furaha ya mioyo ya mamilioni ya watanzania.ndio chama kiletacho tabasamu katika nyuso za watu...