Mwanamke mmoja nchini India amewaacha watu vinywa wazi baada ya kuomba talaka kwa mumewe ikiwa ni siku siku 40 tu baada ya harusi yake, akidai kuwa mume wake hapendi kuoga na hawezi kuendelea kukaa naye
Mwanamke huyo alifikisha malalamiko yake kwenye kituo cha ushauri nasaha cha familia cha...