Habarini wawekezaji
Naombeni ushauri kwa mlionitangulia.
Nina kimtaji changu kidogo hapa 15,000,000, nilikua nataka nifanye biashara.
Sasa katika kukaa na watu kuna jamaa yangu akaniambia biashara kama asali, mbuzi, mchele n.k vinalipa sana ukipeleka Comoro na sometimes hata malipo yake...