nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Rais Samia uliomba ripoti ya "haraka" kuhusu utekaji nchini! Haraka ni muda gani?

    Kumekuwa na utamaduni wa kudanganywa hata na uongozi wa juu. Mama Samia aliomba riport ya kutekwa tekwa kwa watu nchini. Cha ajabu hakuna mtu anaongelea ripoti na wengi kujisahaulisha. Isije ikawa tena tunadanganya danganywa na uongozi wa juu. Chunguzi nyingi za utekaji hazifanyiki maana...
  2. Ruto asema uwepo wa Starlink nchini Kenya umefanya Mitandao ya Simu iboreshe huduma za Intaneti

    Rais William Ruto, amesema amekuwa akipokea malalamiko kutoka kwa Watoa Huduma za Simu nchini humo tangu Serikali iliporuhusu uwekezaji wa kampuni ya #Starlink inayotoa huduma za Intaneti kwa njia ya Setilaiti. Kwa mujibu wa Mtandao wa Citizen Digital, Septemba 23, 2024, imeelezwa kuwa...
  3. Biashara ya solar Panels nchini Tanzania

    Habari za wakati huu wana Jf naomba kujuzwa undani wa biashara hii ya solar panels kwa hapa nchini kwetu Tanzania, Vifaa vitegemeavyo solar power na ni kwa kiwango gani solar system and panels zinahitajika Nchini Tanzania(Maeneo yapi nchini) na ni kwa matumizi yapi?
  4. Hongera Waandishi wa Habari kwa Kukataa Kuyumbishwa na Kusimamia Misingi ya Kazi Yenu Dhidi ya Wenye Nia za Kisiasa

    Infact, Mnafanya kazi nzuri sana na inaonekana dunia nzima. Kamwe msikubali kuyumbishwa wala kuzingatia matakwa ya wenye nia binafsi, bali zingatieni misingi ya taaluma yenu. Fanyeni majukumu na kazi zenu kwa uhuru, haki na usawa bila mbambamba za mzee au kijana yeyote. Mmefanya vizuri sana...
  5. Waziri Masauni aongoza ujumbe kutembelea Idara ya Polisi, Zimamoto na Uhamiaji ya nchini Saudi Arabia

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni ameongoza ujumbe wa Tanzania kutembelea Idara ya Polisi, Zimamoto na Uhamiaji ya nchini Saudi Arabia. Hiyo ni sehemu ya ziara ya kujifunza na kubadilishana uzoefu katika utendaji kazi wa idara hizo katika masuala ya Usalama ikiwemo...
  6. F

    Kardinali Pengo anawashukia wote wanaoleta hofu nchini muda huu kupitia Radio Maria na washirika wake. Anasema watu wanauawa bila hata sababu.

    Kardinali Pengo katika ibada ya kipaimara inayofanyika jimboni Dar es Salaam muda huu anazungumzia hali ya hofu iliyotanda nchini na kuifananisha na hofu waliyokuwa nayo mitume baada ya Yesu kuuwawa. Mwadhama anasema hali hii haijapata kujulikana Tanzania na sababu za mauaji haya hazijulikani...
  7. Siku Muhimu ya Kuliombea na Kulipongeza Jeshi la Polisi Tanzania kwa Kudumisha Amani na Utulivu Nchini

    Mpaka sasa umoja, amani na utulivu wa wananchi katika kila kona na pembe ya nchi, ni imara na kuna usalama wa kutosha na wa uhakika sana. Hii ni ishara kwamba vyombo vingine vya ulinzi na usalama nchini, viko tayari kujitolea kulinda wananchi na viko imara zaidi. Hakuna kitisho cha vurugu...
  8. Ni bora kuruhusu maandamano kuliko hali ilivyo sasa!

    Ni bora kuruhusu maandamano kuliko hali ilivyo sasa nchini. Maandamano ni njia muhimu ya kuwakilisha hisia na malalamiko ya wananchi. Hata hivyo, kuna hisia kwamba watu sasa hawataki kusikia kuhusu Nyerere, hasa kutokana na masuala ya muungano. Hii inadhihirisha jinsi mabadiliko ya kisiasa na...
  9. Ukiondoa ushabiki, basi shambulio la Israel la simu za mkononi nchini Lebanon ni shambulio lililofeli na la aibu sana

    Mashirika yote yaliyotajwa kuwa yalihusika na kutengeneza simu za mkononi za pagers na Walkie talkie zilizowaripukia watu nchini Lebanon wamekataa kuhusishwa na vifaa hivyo.Kila mmoja akitaja kuwa zilitengenezwa na mdau mwengine. Kikawaida Israel inapoona imepata mafanikio kwenye mashambulio...
  10. Kituo cha Demokrasia (TCD) na Wadau wanajadili Tathimini ya Hali ya Demokrasia nchini, leo 19/09/2024

    https://www.youtube.com/live/N31EQ_oXGJw?si=_5ZvcnFVTooLwMeb Mwenyekiti wa Chadema Taifa na mwenyekiti wa TCD, Freeman Mbowe siku ya leo ameongoza uzinduzi wa ripoti ya tathmini ya hali ya demokrasia nchini kwa mwaka mmoja uliopita, iliyoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD). Tukio...
  11. M

    Rais Jakaya , Atabaki Kama Baba demokrasia nchini, sijaona wa kuvunja rekodi yake hapa karibuni

    Umuhimu wa Mtu ni pale akiwa hayupo, Tunamshukuru sana Rais Jakaya Kikwete Kwa kuitumikia nchi hii Kwa moyo mmoja, Ukweli ni kwamba kipindi chake ilikuepo mazungumzo ya mara Kwa mara na wapinzani waliingia ikulu kutoa mawazo yao kila wakati mambo yakiwa magumu, Katika hayo tunampongeza sana...
  12. Wayahudi wa Arusha - Jumuiya ya B’nei Lawi nchini Tanzania

    Na Peres Parpaih (pia anajulikana kama Yehudah Amir Kahalani, jina lake la Yemeni), Moreh (mwalimu) wa Jumuiya ya B’nei Lawi nchini Tanzania Israeli iko karibu na Afrika Mashariki na ulimwengu wa Kiarabu kuliko nchi nyingine yoyote. Kwa sababu ya uhusiano huu wa kijiografia, Wayahudi katika...
  13. CULTURE YA NCHINI MAREKANI ILIVYOITEKA AFRIKA KUPITIA MUZIKI TOKA ENZI HIZO..

    OLD MEMORIES OF BLACK HIP HOP CULTURE & ELEMENT IN AFRICA... WAY BACK 🔙 1980 - 2005 ... Historia ya Muziki wa Rap / Hip hop Duniani 🌎 inatueleza kuwa Asili ya Muziki wa Rap ni 🌍 Afrika. Wasanii Kutoka Taifa la marekani wanaofanya muziki aina Rap .. wengi hupenda/ tunapenda kuwaita...
  14. Mtoto wa msanii 50 Cent kutoka nchini Marekani hataki kufanya kazi

    MSANII 50 CENT "Mwanangu, Marquise Jackson ana umri wa miaka 25 na bado anaomba msaada wa mtoto. Bado nampa $6800 kila mwezi lakini anasema hazitoshi." 50 Cent "Mafanikio yalinigharimu uhusiano wangu na mwanangu wa kwanza, Marquise. Lakini hana akili, akiwa na umri wa miaka 25, haoni aibu...
  15. Mchinjita: Rais Samia atambue Kibao alivyotekwa na kuuawa, inaonesha mauaji yamefikia levo nyingine Nchini

    Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Isihaka Mchinjita akiwa katika Jimbo la Ubungo Jijini Dar es Salaam, kwenye ziara ya chama chake, ametoa kauli akimjibu Rais Samia, kufuatia hotuba aliyoitoa Rais Samia wakati wa maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi. Kiongozi huyu wa ACT Wazalendo...
  16. Unaizungumziaje hotuba nzuri, muafaka na muhimu sana ya Kitaifa na Kimataifa ya Rais Samia?

    Rais alihutubia Taifa Jana.. Ilikua ni hotuba ya kuponya na kutibu maumivu ya fikra na kuleta ahueni na matumaini mapya mioyoni mwa waTanzania. Ni hotuba nzito na ya kimamlaka, ya kiongozi mkuu wa nchi mwenye nguvu sana, na yenye maelekezo muhimu mazito na ya maana sana kwa nchi, mataifa na...
  17. Asubuhi ngumu' nchini Israeli, wanajeshi na maafisa 4 wa Israeli waliuawa, akiwemo mwanajeshi wa kike huko Rafah jana.

    Wanakumbi, ⚡️‘Asubuhi ngumu’ nchini Israeli, wanajeshi na maafisa 4 wa Israeli waliuawa, akiwemo mwanajeshi wa kike mjini Rafah jana. 9 kujeruhiwa, ikiwa ni pamoja na majeraha makubwa Katika mashambulizi mawili tofauti hapo jana huko Gaza...
  18. Kwakuwa Mabalozi wa Kigeni walioko Nchini hatuwaamini kwa lolote ila tunawaamini Marais wao basi nasi tuwaondoe Wetu Makwao na tujiwakilishe Kibinafsi

    Yaani kama Mtu mzima hadi sasa hujajua na hujui kuwa Balozi ni Mwakilishi namba Moja wa Rais wa Taifa husika nchi fulani na kwamba kila Siku au mara kwa mara huwa wanafanya Mawasiliano ya moja kwa moja basi utakuwa si tu labda huna Akili lakini pia upo hapo ulipo kwa bahati mbaya au Watu...
  19. Kipindupindu charejea tena Nchini Malawi, Watu 22 wameambukizwa, mmoja amefariki

    Serikali imetangaza kurejea kwa Ugonjwa wa Kipindupindu nchini humo ikiwa ni ndani ya miezi miwili tangu iliporipotiwa kumalizika kwa maambukizi. George Jobe, Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Usawa wa Afya, amesema "Matarajio yetu tungepumua kwa muda mrefu zaidi, haswa ikizingatiwa mwaka 2022...
  20. G

    Wakati Tanzania ipo busy na masuala ya Simba na Yanga, Wakenya wanazidi kutupiga gap. Ujerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000

    Natumaini mu wazima humu, ni siku nyingine tukiwa bado tunasubiri muafaka wa mchezaji Kagoma kama atabaki Simba au atarudi Yanga, Mzee wetu magoma na yeye ni mpaka kieleweke !!, Anyway tukirudi kwenye kichwa cha habari, Ujerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000 na kuwapa nafasi za kufanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…