ukata wa fedha, sera na mikakati mibovu isiyo na tija ya kuwaunganisha wanachama wao imekua ni chanzo cha kuzorota kwa hamasa katika harakati zao mitandaoni na mtaani.
maandamano yamekosa mvuto kabisa, chaguzi za ndani ya vyama vya kisiasa hata haijulikani zipo, zimeisha au bado zinaendelea...