nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jeshi la Uganda, UPDF, laingia nchini DRC

    Kinaenda kunuka huko Bunia. Jeshi la Uganda, leo limeingia nchini DRC, kukabiliana na vikundi vya wapiganaji wanaotumia siraha, wanaotekeleza mauaji ya Wahima kutoka Uganda. Huko pia ikumbukwe, ndo kuna kundi la waasi wa Uganda wajulikanao kama ADF. Haya, ngoja tuone DRC mwakani itakuwaje...
  2. Waziri Kombo apokea nakala ya hati za utambulisho kutoka kwa balozi mteule wa Thailand nchini

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thatib Kombo (Mb.) amepokea Nakala ya Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Thailand nchini Tanzania mwenye makazi yake nchini Kenya, Mhe. H.E. Morakot Janemathukorn, Katika Ofisi Ndogo za Wizara jijini Dar...
  3. Bunge Lampa Tano Rais Samia kwa Kujenga Vituo Maalum vya Kudhibiti Wanyama Wakali Nchini

    Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii, imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kusikiliza kilio cha wananchi kuhusu wanyama wakali na waharibifu na kuwajengea vituo na kutoa vifaa vya kukabiliana na changamoto hiyo katika maeneo mbalimbali nchini...
  4. Kampuni ya Barick imeshindwa kulipa Wakandarasi, wazabuni na mafundi walitekeleza miradi ya ujenzi wa Madarasa, Mabweni na Vyoo katika shule t nchini

    Mnamo mwezi wa nne mwaka 2024, Kampuni ya kuchimba madini ya Barick walitoa barua kupitia wizara ya TAMISEMI kuwataarifu juu ya kufadhili ujenzi wa madarasa, mabweni na vyoo katika shule mbalimbali nchini. Serikali kupitia kwa wakuu wa shule na wakurugenzi wa halmashauli zote zilizopokea barua...
  5. Tumalize ubishi wa miamba hii ya muziki nchini kati ya Chidumule, Bitchuka na hayati TX Moshi, nani alikuwa mtunzi na muimbaji mzuri?

    Swali langu ni hilo wakuu, japo kwa upande wangu nilimkubali na nitaendelea kumkubali sana mzee Hassan Rehani Bitchuka. Wewe je unakubaliana na huyo huyo wa kwangu? Au Cosmos Chidumule? Au hayati Tx Moshi?
  6. Hamisa Mobetto anafanya kazi gani inayompa umaarufu mkubwa nchini?

    Nikiri tu huyu sijui ni dada au mama anayeitwa Hamisa Mobetto nimemsikia muda mrefu sana ila sijawahi kujua anafanya shughuli/kazi hasa iliyompatia umaarufu mkubwa hivyo.
  7. S

    Kutatua tatizo la ajali nchini kutokana na uharibifu au kufeli breki, LATRA waweke kikomo cha umri wa mabasi na malori kuruhusiwa kuwa barabarani

    Kuna mahali nilisoma kwamba unapoendesha gari yenye umri zaidi ya miaka 15 kwenda safari ya mbali, umri wa hiyo gari unaweza kuchangia wewe kupata ajali. Yaani, kadiri gari ilivyo ya umri mkubwa ndivyo ambavyo ina uwezekano mkubwa wa kupata hitilafu na kusababisha ajali hata vifo. Tanzania ni...
  8. Sera ya Elimu ni janga kwa vyuo vya ualimu nchini. Ni janga kwa wasomi wa shahada za ualimu nchini!

    Majuzi nimekaa kwenye bwalo la halmashauri ya Mbeya vijijini nikishuhudia machozi ya vijana wasomi wa kitanzania wakimwaga machozi baada ya kuonekana hawajapita kwenye interview ya inayosimamiwa na watu wasiojua thamani na gharama za mtu kukaa miaka mitatu akipambania shahada ya ualimu kwa jasho...
  9. B

    Wawekezaji 30 kutoka Saudi Arabia wafanya ziara maalum nchini Tanzania

    13 February 2025 Unguja Zanzibar, Tanzania Wawekezaji 30 kutoka Saudi Arabia wafanya ziara maalum nchini Tanzania - SADC https://m.youtube.com/watch?v=M0oksDu6e44 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi mheshimiwa Dk Hussein Ali Mwinyi...
  10. Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akizungumza na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Ahmed Djellal,

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Mhe. Ahmed Djellal, ambaye alifika ofisini kwa Balozi Nchimbi, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam, kwa ajili ya kuaga, Jumatano tarehe 12...
  11. Hakuna chama cha siasa makini cha upinzani nchini kinaweza kuthubu kukubali wito kuungana na chama tapeli na kibaka wa demokrasia

    Yaani anataka vyama vya upinzani kuungana ili kuomba pesa nyingi zaid kwa wananchi wanaoitwa maskini? Yaani vyama vya siasa vya upinzani viache malengo yao wafuate ulaghai wa huyo mpiga makelele mwenye chuki na uhasama na viongozi na baadhi ya wanachama wa chama chake mwenyewe, inawezekana...
  12. Dkt. Mollel amjibu Lema kibabe kuhusu suala la ubora wa huduma za afya nchini

    Hayo yametokea Februari 11, 2025 wakati wa ibada ya mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Manyara, Derick Magoma, ambapo Naibu Waziri wa Afya, Dr. Godwin Mollel alipojibu hoja za Godbles Lema wa CHADEMA kuhusu suala la afya, akigusia pia katika Magoma alipokuwa akiugua. Chanzo...
  13. I

    Pigo kubwa kwa Brics: Saudi Arabia yaistukia Brics, yapanga kuwekeza dola bilioni 600 ndani ya miaka minne nchini Marekani.

    Saudi Arabia ilialikwa kujiunga na BRICS mnamo 2023 lakini Ufalme bado haujatoa uamuzi wa kukubali mwaliko huo. Imezuia uamuzi wa kujiunga na muungano huo kwa kuwa unafanya mikataba ya kibiashara na Marekani. Ufalme wa Saudi Arabia unasita kujiunga na BRICS kwani unahitaji uungwaji mkono wa...
  14. Sri Lanka: Wakazi zaidi ya milioni 22 waishio nchini humo wamelala gizani, na yote sababu ya Tumbili

    Sasa hii nayo imetokea usiku wa kuamkia Februari 10, 2025 huko Sri Lanka ambapo wakazi zaidi ya milioni 22 waishio nchini humo wamelala gizani, na yote sababu ya Tumbili mmoja tu. Unaambiwa Tumbili huyo aliyeruka na kuingia kwenye mfumo wa gridi ya umeme alisababisha umeme kukatika karibu eneo...
  15. I

    Baharia wa kitanzania ajinyonga kwenye meli nchini Uholanzi.

    Mtanzania baharia aitwaye Fadhili Mohamed Omar amefariki akiwa kwenye meli nchini Uholanzi baada ya kujinyonga. Kwa mujibu wa taarifa marehemu alikua ni mwenyeji wa mji wa Moshi, mkoa wa Kilimanjaro...
  16. M

    CHADEMA haina katibu mwenezi?

    Hivi mheshimiwa Lissu chama anakiendesha vipi? Katibu mwenezi mwenyewe? Mbona mambo yanaaza kuharibika mapema mno? Kama ndani ya chama yupo mwaka 20 kama kiongozi wa juu, inafika mwezi anashindwa kuchagua uongozi uliotimia au haamini watu ndani ya CHADEMA? Mbowe hayupo tena kwa kumbebesha...
  17. M

    Uzi maalum kuhusu kodi/tozo/ushuru nchini Tanzania zifaazo na zisizo faa

    Habari wananchama na wasio wanachama. Nimeamua kuleta huu uzi kama haupo unaofanana nao tuweze kujadili 1. Kodi/tozo/ushuru kandamizi ziweze kuondolewa 2. Maoni juu ya namna ya kupata vyanzo vipya vya mapato 3. Namna za ukwepaji wa kodi/ushuru/tozo na kuweza kudhibiti. 4. Tukumbushane pia kodi...
  18. Naomba kujuzwa, je ni kweli haya madini yanayoleta tafrani Kongo tunayo hapa nchini! (coltan)

    MADINI YOTE MUHIMU YANAYOCHIMBWA DRC CONGO, MADINI HAYO HATA SISI TANZANIA TUNAYO KATIKA MKOA WA KAGERA. KATIKA MKOA WA KAGERA TUNA MADINI YAFUATAYO AMBAYO CONGO PIA WANAYO; TIN (CASSITERITE) NICKEL COBALT MANGANESE TANTALUM (COLTAN) TUNGSTEN ( WOLFRAMITE) HAYA MADINI MKOA WA KAGERA YAPO...
  19. Kwa mujibu wa CCM Umasikini nchini utaisha lini na sasa tuko hatua gani?

    CCM ndio chama kilichoamoniwa kutupa mwelekeo wa taifa. Hata wananchi walipoulizwa kama wanataka vyama vingi miaka ya 90 walisema kwa zaidi ya 80% CCM iendelee. Huwa sijui kwa Mujibu wa CCM na ilani zao wao wamepanga kuumaliza umasikini lini? Katika mikakati yao sasa hivi tuko katikqti ya...
  20. Kuna Matumizi Mabaya sana ya Fedha za Walipa Kodi nchini Tanzania

    Msingi Mkuu wa CCM kukataa KATIBA MPYA unatokana na KATIBA ILIYOPO KUWAPA NGUVU Wanasiasa kuliko Watendaji hivyo Wanasiasa kutapanya pesa za wananchi kwa namna wanavyojisikia wao bila hofu ya kufanywa chochote kile. Na fedha hizo wanasiasa wanazitumia kwa maslahi yao binafsi na CCM. Kusema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…