ndaisaba bungeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbunge Ndaisaba Ruhoro: Mfanyabiashara wa soko la sukari anauza kilo moja kwa Tsh. 10,000. Hatuwezi kukubali Wananchi wetu kuteseka

    "Sukari ni chakula, watanzania wa hali ya chini wanategemea Sukari kuweza kunywa Chai. Suala la Sukari ni suala la Usalama wa Nchi kwasababu chakula ni suala la kiusalama ndani ya Taifa. Hatutakiwi Kufanya Mchezo na Suala Linalogusa Usalama wa Nchi" - Mhe. Ndaisaba George Ruhoro, Mbunge wa Jimbo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…