ndanda

  1. OKW BOBAN SUNZU

    Nasibu S.M form 6 Ndanda Sec alikuwa na changamoto gani?

    Waliokuwa naye hapa Ndanda tunaomba taarifa. Hiki kibali ni kizito sana
  2. N

    Ajira za madaktari Ndanda Referral Hospital, Masasi

    Habari wakuu? Baada ya serikali kunyakua madaktari na kuwapa ajira, sasa baadhi ya hospitali kuna nafasi zimeachwa wazi, hospitali ya rufaa inatafuta madktari daraja la II. Kama una ndugu yako hajafanikiwa hizi za serikali basi mjulishe! Kwa bahati mbaya leo ndo mwisho wa kutuma maombi...
  3. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Mwambe Awakutanisha Viongozi wa Vyama vya Msingi Vilivyo Jimbo la Ndanda

    MBUNGE MWAMBE AWAKUTANISHA VIONGOZI WA VYAMA VYA MSINGI VILIVYO JIMBO LA NDANDA Huu hapa ushauri wa vyama vya ushirika vya Ndanda juu ya sheria ya mabadiliko ya ushirika Viongozi wa vyama vya msingi kutoka Jimbo la Ndanda wameshauri sheria ya ushirika ifanyiwe marekebishi ili kuongeza idadi ya...
  4. mahindi hayaoti mjini

    Hii ni mara ya pili polisi wanashambuliwa mtaa wa Narung'ombe na Ndanda, Kariakoo

    Siungi mkono polisi kupigwa , wala polisi kuonea watu, lakini inafikirisha kidogo, haiwezekani eneo moja hilo hilo mpigwe na kuzomewa mara mbili na mshindwe kufanya kazi iliyowapeleka pale isipokuwa operation mfanyayo ni batili Wakiwa kwenye msako wa kukamata bodaboda wakorofi kila wakifika...
  5. G

    Abbasia ya Ndanda umeme wake 24hrs

    Wakuu habari, Najiuliza serikali Yetu inashindwa wapi?, Abbasia ya ndanda nyenye wakazi wengi tu!! Wana umeme wao wa maji, umeme ni masaa 24, haukatiki, maji yao pia ni safi sana na ni 24hrs hayakatiki! Serikali tunashindwa wapi kuwahudumia wananchi wetu Mimi nafikiri Ifike hatua tufikie...
  6. G

    Ndanda kuna shida ya maji sana

    Habari wakuu, Unapozungumza jimbo la Ndanda, unazungumza Abbasia ya Ndanda, abbasia ya Ndanda imekuwa msaada kwa wakaazi wa jimbo hili la Ndanda, kwenye suala la maji maana wamesupply maji yao wenyewe hadi vijijini. Kutokana na wakazi kuongezeka wanaelemewa sasa, maji yamekuwa shida sana...
  7. N

    Tujikumbushe kichekesho cha dunia: Yanga vs Ndanda FC 2016

    Tuesday , 10th May , 2016 Mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara kati ya wenyeji Ndanda FC na Yanga uliokuwa ufanyike Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara sasa utafanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam Jumamosi. Afisa habari wa Shirikisho la Soka nchini (TFF) Alfred...
Back
Top Bottom