Habari wakuu, Unapozungumza jimbo la Ndanda, unazungumza Abbasia ya Ndanda, abbasia ya Ndanda imekuwa msaada kwa wakaazi wa jimbo hili la Ndanda, kwenye suala la maji maana wamesupply maji yao wenyewe hadi vijijini.
Kutokana na wakazi kuongezeka wanaelemewa sasa, maji yamekuwa shida sana...