Awali nitambue kipaji cha Braza K toka Kigoma,
1. Ndaro hana kipaji zaidi ya kufosi. Na hivi hamna shule mule basi unaboa Tu.
2. Hapa kati tena umejichanganya kwa kurumbembe ndo limekupoteza Mazima.
3. Rudi Kigoma tulime michikichi (mawese).
Mpaka sasa sijaamini na sitaki kuamini kama mrembo Tunda ana date na Ndaro.
Ikiwa kama kweli wana date, basi hii ndio couple mbaya zaidi kuwahi kutokea kwa watu maarufu hapa bongo.
Kwangu mimi, hii couple aisee hapana haivutii hata kidogo
Ila tusemeni tu ukweli, Tunda hajui thamani ya uzuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.