Mpaka sasa sijaamini na sitaki kuamini kama mrembo Tunda ana date na Ndaro.
Ikiwa kama kweli wana date, basi hii ndio couple mbaya zaidi kuwahi kutokea kwa watu maarufu hapa bongo.
Kwangu mimi, hii couple aisee hapana haivutii hata kidogo
Ila tusemeni tu ukweli, Tunda hajui thamani ya uzuri...