ndege mpya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kumbe tuna Ndege Mpya ya Rais na hamsemi ndugu Watanzania!?

    Zilianza kama tetesi: Tanzania yadaiwa kununua ndege mpya ya Gulfstream G700. Yadhaniwa ni kwa matumizi ya Rais
  2. Cristiano Ronaldo anunua Ndege mpya Gulfstream G650 yenye thamani ya Bilioni 187

    https://fntaz.com/cristiano-ronaldo-anunua-ndege-mpya-yenye-thamani-ya-75-milion/
  3. S

    Tanzania yadaiwa kununua ndege mpya ya Gulfstream G700. Yadhaniwa ni kwa matumizi ya Rais

    Tanzania inadaiwa kununua ndege mpya ya Gulfstream G700, ambayo ni kwa matumizi ya serikali - bila shaka matumizi ya Rais. Pichani ni aina ya ndege iliyonunuliwa. Hii ni ndege ilizinduliwa mwaka 2019, na ina uwezo wa kukimbia kwa zaidi ya 990km/hr, karibu sawa na spidi ya Boeing Dreamliner...
  4. Makonda: Anachokifanya Rais Samia Ndicho Alikifanya Magufuli (Mapokezi ya Ndege mpya ya Abiria Boeing B 737-9)

    https://www.youtube.com/watch?v=r1yNAnTHyC0 Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa amefika katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam (JNIA) kama mgeni rasmi katika tukio adhimu la kupokea ndege mpya aina ya Boeing B 737-9 ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), leo...
  5. P

    Serikali kuleta ndege mpya nchini Machi 26, 2024

    Ndege mpya ya Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), Boeing 737-9 Max, inatarajiwa kuwasili nchini Machi 26 mwaka huu kutokea nchini Marekani, hii itakuwa ndege ya 14 kutoka ATCL.
  6. Ndege Mpya ya Mizigo ya ATCL Kuanza Kazi Wiki Ijayo

    Ndege mpya ya mizigo aina ya Boeing 767-300F iliyonunuliwa na serikali itaanza kazi ya kusafirisha mizigo nje ya nchi Juni 26, mwaka huu. Hayo yalibainishwa na Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), Sarah Reuben Reuben alisema kuanzia Jumatatu ijayo, ndege hiyo itaanza kusafirisha...
  7. Ndege ya mizigo Boeing 767-300F ilibadilishwa jina kutoka “Hapa KaziTu" kwenda "Kazi Iendelee”

    Niende moja kwa moja! Picha za mwazo Kutoka Boeing ndege yetu ya mizigo ilikuwa na chapa ya Lake Tanganyika (Hapakazi Tu) lakini wakati wa makabidhiano inasomeka Lake Tanganyika (Kazi Iendelee). Je, tatizo ni nini?
  8. Rais Samia apokea Ndege mpya ya Mizigo Boeing B767-300F Uwanja cha Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Juni 3, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ndege mpya ya mizigo aina ya BOEING B767-300F katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam - Terminal One. - Rais Samia ameshawasili Uwanjani tayari wa ajili ya zoezi la kupokea ndege ya...
  9. Ndege Mpya ya Mizigo Iyafikie Masoko ya Nje

    Kesho Tanzania itapokea ndege ya mizigo. Hatua hii ichukuliwe kwa uzito wa pekee na wafanyabiashara wakubwa na wadogo. Ndege hiyo kubwa ya mizigo aina ya Boeing 767-300F itakuwa na uwezo wa kubeba tani 54 za mizigo na kusafiri katika nchi za Ulaya, Asia na kwingineko ambako soko litapatikana...
  10. M

    Mafanikio ya Rais Samia kwa miezi 9 tangu aingie Madarakani

    MAFANIKIO YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN TOKA AINGIE NADARAKANI Mh.Rais Samia Suluhu Hassan: Ameendelea kujenga Nchi kwa kuendeleza Miradi mikubwa ya Taifa kama ilivyoainishwa kwenye ILani ya CCM ya Mwaka 2020-2025, Mradi wa Julius Nyerere Hydropoer Poject-JNHPP wa Megawatt 2115 umeendelea...
  11. J

    ATCL na hofu ya kupigwa oda ya ndege mpya nne za kisasa

    === Tanzania tayari tuna ndege mpya 11 za kisasa zinazoifanya ATCL kuwa mshindani wa Rwanda Airlines,Ethiopia Airline na Kenya Airways katika biashara ya Usafiri na usafirishaji wa anga Africa. Pamoja na kwamba kimahesabu ATCL inaonekana kutengeneza hasara lakini indirectly ATCL inafaida kubwa...
  12. Serikali isitishe ununuzi wa ndege mpya kwa sasa

    Kutokana na janga la korona, uendeshaji wa ndege ni kati ya biashara ngumu sana ulimwengni kwa sasa kwani mashirika mengi tena yenye nguvu yamekuwa yakipata hasara ya mabilioni ya Pesa Kutokana na hii changamoto, nafikiri ni wakati sasa wa Bunge kuishauri serikali isitishe maramoja ununuzi wa...
  13. S

    Zile ndege mpya ni mali ya Zanzibar - Kilichotokea ni kiini macho

    Zanzibar ilikuwa ianzishe shirika lake la ndege na fununu ilikuwa liwe tayari limeanza safari za Arusha Zanzibar na Zanzibar China,kilichotokea hakijulikani mpaka Machogo wakaziteka na kuwaacha wapemba wakishangilia hewa. Ungejiuliza kwa nini zile Ndege zimepokelewa Zanzibar ? Na sio Daresalamu ?
  14. W

    Ndege mpya mbili kupokelewa Jumatatu tarehe 11/10/2021

    Ndege mpya mbili zitapokelewa Ijumaa ya tarehe 8/10/2021. Ndege hizo zitapokelewa katika uwanja wa ndege wa Amani Zanzibar. Tujikumbushe mambo ya Muungano. Ukurasa wa 218 na 219 wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977, unataja Mambo ya Muungano ambayo ni:-. 01. Katiba ya Tanzania...
  15. Rais Samia apokea Ndege ya Mizigo, aeleza nia ya Serikali kuboresha Sekta ya Anga kwa miaka mitano ijayo

    Rais anapokea ndege ya Tisa Taarifa zaidi kukujia RAIS SAMIA: MIAKA MITANO IJAYO TUMEJIPANGA KUIMARISHA SEKTA YA ANGA Rais Samia Suluhu Hassan amesema wamejipanga kuimarisha Shirika la Ndege na Usafiri wa Anga Amesema hayo katika mapokezi ya ndege mpya ambayo itafanya Tanzania iwe na...
  16. J

    Rais Samia kupokea ndege mpya ya ATCL Julai 30, 2021

    Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan kesho atapokea ndege mpya ya ATCL. Ndege hiyo ni miongoni mwa zile 11 zilizoagizwa na serikali yy awamu ya 5 chini ya hayati Magufuli Mtanikumbuka - JPJM Mungu ni mwema wakati wote! === Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kesho Julai 30, 2021 anatarajiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…