Kila baada ya muda fulani nchi ya Marekani huwa inafanya mambo ambayo yanazidi kuishushia hadhi nchi hiyo.
Mambo hayo ni yale inayoyapinga kufanywa na wenzake.
Inaua sana kila nchi lakini wengine wakifanya hivyo huitwa magaidi.
Leo imeteka ndege ya raisi mzima wa nchi ya Venezuela kisingizio...