Leo akizungumza na Waandishi wa Habari ,
Wakili msomi wa kwenye majukwaa Bwn. Tundu Lisu amesikika akijinasibu kuwa kesi yake dhidi ya Tigo na serikali ya Tanzania kuhusiana na madai ya kuvujishwa kwa data za mawasiliano yake ambayo mpaka sasa madai hayo hayajathibitishwa pasi na shaka yeyote...
Kwa mujibu wa takwimu za usafiri zilizotolewa na mamlaka ya anga ya Nchi zote inaonesha wakenya wakitumia usafiri wa ndege mara 3 zaidi ya Watanzania ambapo takribani watu Milioni 12.3 walisafiri kwa Ndege huko Kenya wakiwemo wageni zaidi ya mil. 5 na raia zaidi ya mil. 6.
Kwa upande wa...
Habari,
Bila kupoteza muda niseme tu kwamba binafsi kama mtanzania, nakerwa na kuchukizwa sana na picha halisi ya Twiga iliyopo katika mkia wa ndege katika kila ndege ya Shirika la ndege la Tanzania ATCL.
Sipendezwi na uamuzi huo wa kuweka picha halisi ya mnyama (Twiga) isiyokuwa na ubunifu...
Hivi ninavyoandika abiria wa ndege za ATCL kwenda Arusha, Bujumbura, Dodoma wapo stranded Terminal II ya JKNIA kwa sababu ya kutokuwepo kwa ndege zinazoenda maeneo hayo...
Taarifa zisizo rasmi toka kwa wafanyakazi wachache waliopo hapa wanatoa excuse sijui **** shida kwenye runway lakini ndege...
Je, umesafiri kwa ndege za ATCL hivi karibuni?
Basi utakumbana na madudu ambayo yalikuwepo miaka takriban 20 iliyopita.
Schedules za ndege ni kizungumkuti.
Unaweza kusubiri ndege airport utafikiri unasubiri basi la kwenda Igunga.
Ndege kuchelewa kuondoka kwa masaa 3 hadi 4 sasa ni jambo la...
Kwa wasafiri wa ndege zetu za ATCL, hivi mmeshawahi kuhudumiwa kinywaji cha kahawa?
Ni kitu cha ajabu sana kiwango cha ubora wake ni cha chini kabisa. Yaani wanahudumia chai ya kahawa au kahawa ya rangi.
Kwa kuwa Tanzania inalima na kuzalisha kahawa ya kutumia, basi shirika letu lingetumia...
Zitto ametoa tuhuma nyingi dhidi ya Hayati Magufuli na utawala wake.
Mojawapo ni hiyo ya ndege 6 alizonunua Hayati Magufuli kuwa grounded wakati tuliambiwa ni ndege mpya.
Nasubiri kusikia kama Serikali au ATCL watakanusha tuhuma hizi.
Majibu ya ATCL, soma ATCL: Ndege mbili zina shida ya...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema kusimama kwa ndege hizo za Shirika la Ndege (ATCL), aina ya Airbus a220-300 kumetokana na hitilafu ya kiufundi na ambapo watengenezaji waliagiza zisiruke.
Amesema Serikali inaendelea na mazungumzo na watengenezaji kuhusu matengenezo ya Ndege hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.