Kwa wasafiri wa ndege zetu za ATCL, hivi mmeshawahi kuhudumiwa kinywaji cha kahawa?
Ni kitu cha ajabu sana kiwango cha ubora wake ni cha chini kabisa. Yaani wanahudumia chai ya kahawa au kahawa ya rangi.
Kwa kuwa Tanzania inalima na kuzalisha kahawa ya kutumia, basi shirika letu lingetumia...