Imekuwa ni muda mrefu sasa hatujakuona ukicheza katika timu yetu pendwa na tatizo sijui nini. Myself nai-miss sana ile mikwaju yako ya mbali ambayo katika timu yetu hiyo ni speciality yako tu na simuoni mchezaji mwingine kufanya hivyo.
Wasiwasi wangu ni kuona kipaji hiki kinaweza kupotea na...