Habari wakuu.
Bana msoto wa Maisha ni mkali sana katika hii Dunia.
Mimi na mke wangu tupo Bega Kwa Bega Mbali Na Maisha magumu tunayopitia na upendo wetu umeongezeka maradufu.
Ebana shemeji yenu ananipa Moyo Sana katika utafutaji wa ugali.Nafurahi kusema ya kwamba kipindi cha raha tulikuwa...
Hayati Lemutuz alisisitiza sana vijana kumudu kuwa na sehemu anapopaita kwake hata kama amepanga. Hata kama ni chumba kimoja hakikisha unamudu kulipa kodi ya pango. Hiki kiwe kipaumbele cha kwanza kwa kijana wa kiume. Kushindwa kumudu kodi ya pango huja na gharama kubwa inayodhalilisha utu...
1. Asiekunywa pombe (sio mlevi)
2. Mfupi (ukiolewa nae ndo utajua maana ya ndoa ndoano)
3. Asiekua na hofu ya Mungu
4. Bahili (kama haezi kukuhudumia kwenye uchumba sahau kutunzwa vizuri kwenye ndoa)
5. Mwenye hela (ambazo hujui chanzo chake)
6. Anaezingatia 50/50 (wale wa "mimi siwezi kuoa...
Mimi ni Binti mwenye umri wa miaka 30, Natafata mume, Sibagui umri wala kabila, Karibuni kwa mwenye kuhitaji mke aliyekamilika na anayempenda Mungu.
Atakaewahi atapewa kipaumbele
Tukutane PM
Wapendwa nawatisha la hasha nawaweka haya kukusaidia wewe unaekaribia kuoa ndoa ni taasisi kama taasisi zingine unapoingia jifunze kwanza kukoje je faida na hasara ni zipi
Kwanza nitaweza kuvumilia ama lah
Natoka kikao kimoja cha wanandoa kwa mjumbe bahati n mjumbe msaidizi na niko kwenye...
Jamani wenzangu tuliomo kwenye ndoa zaidi ya miaka 15 njooni tupongezane ndoa sio mchezo wa Simba na Yanga ndoa inahitaji mental maturity and stable income, hususani ukiamua kua na wake wawili, ndoa ya mke moja inatesa mno, nilianza ikanishinda.
Nimebakiza miaka mitatu ni timize 20th...
MWANAMKE ANAYEJITAMBUA HAWEZI KUWA MCHEPUKO AU MKE WA PILI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Binti yàngu, kwetu Watibeli ni mwiko Kwa Binti zetu kuolewa Mke wa Pili au Uke Wenza au Kuwa mchepuko. Huko ni kutojitambua, kujidhalilisha na dalili ya umaskini na uvivu.
Wewe sio mzuri mpaka úwe Mke...
Katika utafiti mdogo nilioufanya nimegundua watu wengi waliingia kwenye ndoa bila kujuana vizuri kiundani.
Sasa baada ya kuingia kwenye ndoa ndipo Mke/Mume anagundua mapungufu Mengi kwa mwenzi wake ambayo hakuyajua kabla ya Ndoa.
Kama ilivyo ndoa za Kikristo zinasema hadi Kifo kiwatenganishe...
Maana ya Ndoa
Ndoa ni muunganiko kati ya mwanamume na mwanamke, walio amua kwa ridhaa yao wenyewe kuishi pamoja kama mke na mume mpaka mwisho wa maisha yao ya ndoa.
Aina za ndoa kwa mujibu wa sheria
Kuna aina mbili tu za ndoa zinazotambulika na sheria ya ndoa Tanzania
Ndoa ya mke mmoja na mume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.