ndoa batili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Naanza kuwaelewa kataa ndoa! Mama Ayubu amuua mumewe kisa anarudi nyumbani bila pesa yoyote!

    Mwanamke anayefahamika kwa jina la Mama Ayubu mkazi wa mtaa wa Banda mbili Kata ya Sombetini Jijini Arusha, anadaiwa amemuua mume wake aitwae Daudi Estomii (45) ikiwa ni baada ya kuwepo kwa tuhuma za muda mrefu kuwa amekuwa akimpiga mwanaume huyo pindi anaporejea nyumbani nyakati za usiku huku...
  2. Fanton Mahal

    Hatimae hukumu imetoka tayari, siku ya kwanza tu ya kesi kusikilizwa

    Wakuu heshma kwenu. Habari za jioni. Nimeona ni vyema kuwa update kuhusu mwenendo wa suala ambalo nilileta hapa jukwaani siku ya jumatatu katika uzi huu...
  3. Magical power

    Mimi ni Mama wa miaka 38, nipo kwenye ndoa kwa miaka 7 sasa, mimi na mume wangu tulikua vizuri tu lakini sasa mambo yamebadilika

    Habari Kaka magical power,mimi ni Mama wa miaka 38 Majina naitwa Brenda, nipo kwenye ndoa kwa miaka 7 sasa😭💔, mimi na mume wangu tulikua vizuri tu, mume wangu ni wale wanaume wapole, ananiruhusu kufanya kila kitu ninachotaka na haongei sana. Tangu nakutana naye mimi niikua mtu wa club na kupost...
  4. R

    Uongo wa ndugu yangu kipindi cha uchumba yagharimu ndoa Yake

    Habari Wana JF. Kuna ndugu yangu mmoja mtoto wa kwanza wa Baba mdogo wangu wa kike. Tulimuoza Mwaka Jana mwezi wa 1 ndoa kabisa ya kanisani. Aliolewa na kijana mmoja waliefahamiana chuoni. Sasa hii ishu mimi nimepata last week na mpaka sasa imeshindikana kusolve Tangu mwaka Jana. Wazee...
  5. Mkalukungone mwamba

    Rukwa: Mume amuua mke wake kisa hajalisha nguruwe

    Haya sasa matukio yamezidi ya wanandoa kufanyiana ukatili kila wakati. Tufanyaje kuyapunguza kwa kiasi kikubwa matukio ya wanandoa mh maana inaogopesha sana? ========================= Mtu mmoja mkazi wa Kijiji cha Msanzi Kata ya Msanzi wilayani Kalambo mkoani Rukwa, Helena Elias Kipeta mwenye...
  6. MamaSamia2025

    Kijana pambana sana umudu kulipia kodi ya unapoishi kabla ya kuwaza ndoa. Epuka kulipiwa

    Hayati Lemutuz alisisitiza sana vijana kumudu kuwa na sehemu anapopaita kwake hata kama amepanga. Hata kama ni chumba kimoja hakikisha unamudu kulipa kodi ya pango. Hiki kiwe kipaumbele cha kwanza kwa kijana wa kiume. Kushindwa kumudu kodi ya pango huja na gharama kubwa inayodhalilisha utu...
  7. MFALME WETU

    Hakikisha huolewi na wanaume wa aina hii

    1. Asiekunywa pombe (sio mlevi) 2. Mfupi (ukiolewa nae ndo utajua maana ya ndoa ndoano) 3. Asiekua na hofu ya Mungu 4. Bahili (kama haezi kukuhudumia kwenye uchumba sahau kutunzwa vizuri kwenye ndoa) 5. Mwenye hela (ambazo hujui chanzo chake) 6. Anaezingatia 50/50 (wale wa "mimi siwezi kuoa...
  8. haszu

    Kila mke wangu akifanya madudu, namkumbuka Ex wangu alikua na akili nikamuacha maana hakua mzuri

    Huyu niliechagua kumuweka ndani bwana story anazoweza yeye ni za mapenzi, mapishi na na gossip kwa mbali. Mengine yote haelewi, unaweza hata kumtumia picha ya kawaida ya meme na asipate ujumbe uliokusudiwa. Nilipendea uzuri wa sura na umbo eeh ila department ya kichwani ni kama kuna shida...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    Mwanamke anayejitambua hawezi kuwa Mke wa Pili au mchepuko

    MWANAMKE ANAYEJITAMBUA HAWEZI KUWA MCHEPUKO AU MKE WA PILI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Binti yàngu, kwetu Watibeli ni mwiko Kwa Binti zetu kuolewa Mke wa Pili au Uke Wenza au Kuwa mchepuko. Huko ni kutojitambua, kujidhalilisha na dalili ya umaskini na uvivu. Wewe sio mzuri mpaka úwe Mke...
  10. FRANCIS DA DON

    Je, nini kifanyike kwenye sheria za ndoa ili kuwapa motisha vijana wafunge ndoa (sio kuoa) kwa wingi zaidi?

    Mwanasheria anasema, kuoa na kufunga ndoa ni vitu viwili tofauti, binafsi yake hapendelei kufunga ndoa sababu ya ‘repercussions’ endapo mtagombana. Anasema ni bora uwe na ‘X’ kuliko kuwa na ‘Mtalaka / Mtaliki’. ===========================...
  11. realMamy

    Utafanya nini endapo utagundua kuwa umeingia kwenye ndoa na mtu ambaye si sahihi?

    Katika utafiti mdogo nilioufanya nimegundua watu wengi waliingia kwenye ndoa bila kujuana vizuri kiundani. Sasa baada ya kuingia kwenye ndoa ndipo Mke/Mume anagundua mapungufu Mengi kwa mwenzi wake ambayo hakuyajua kabla ya Ndoa. Kama ilivyo ndoa za Kikristo zinasema hadi Kifo kiwatenganishe...
  12. Mkemia Fred James

    Makosa ambayo "HUPASWI" kufanya Duniani

    1. Usivichukulie "POA" vitu vidogovidogo kwasababu vitakugharimu. 2.Usiseme Uongo kwa kumfurahisha mtu ni heri kumuumiza kwa ukweli.Hio itasawasaidia kuokoa muda na maumivu hapo baadae. 3.Wanadamu wa leo hawaaminiki na hawazoeleki.Usimwambie kila mtu siri za maisha yako hasa katika maswala...
  13. Pascal Mayalla

    Ndoa halali, ndoa batili na ndoa batilifu. Je, wajua pia kuna msamaha halali wa kweli, msamaha batili na msamaha batilifu? Msamaha ule ni batilifu!

    Wanabodi, Huu ni uzi elimishi kuhusu aina tatu za kuomba msamaha, kama zilivyo aina tatu za ndoa. Lengo la kutoa elimu hii ni kulinda heshima ya fani ya watu ambayo imetakwa kudhalilishwa kwa kusingiziwa kuwa ile video imefanyiwa maujanja kwa kuchakachuliwa ili kumchafua mtu, kitu ambacho sii...
  14. mshale21

    Waziri Kabudi: Viongozi wa dini ambao hawajasajiliwa na RITA hawataruhusiwa kufungisha ndoa ya aina yoyote

    Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi amesema viongozi wa dini ambao hawajasajiliwa na Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) hawataruhusiwa kufungisha ndoa ya aina yoyote na endapo watafungisha ndoa bila ruhusa, ndoa hiyo itakuwa batili.
Back
Top Bottom