ndoa huleta furaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Namshakende

    Nimeoa wiki mbili tu zilizopita lakini tayari nimechoshwa na maisha haya

    Nimeoa wiki mbili tu zilizopita, lakini tayari nimechoshwa na maisha haya. Nahisi kama ninaishi maisha ya kipumbavu . Nashangaa jinsi watu ambao wamekuwa kwenye ndoa kwa miaka mitano au zaidi wanawezaje kuvumilia huu ujinga! Niko kitandani na huyu Binadamu , lakini ameninunia tangu jana...
  2. Rorscharch

    Kwanini Uchumba Sugu unadumu kuliko Ndoa?

    Ni jambo ambalo sijawahi kuliwazia ila ndio ukweli kwa kizazi hichi kilichoanzia miaka ya 90 kwenda mbele, ndoa zinavunjika kila kukikucha ila wachumba sugu bado wanaleta, zifuatazo ni baadhi ya sababu ambazo binafsi nadhani zinachochea hali hii: 1. Mwanamke akiolewa hubweteka sana maana...
  3. Moto wa volcano

    Mwanaume jenga utamaduni wa kurudi nyumbani na mfuko wa sokoni

    Ukiwa umeoa / nyumbani una familia hakikisha kila unaporudi home unarudi na mfuko umejaa vitu vya sokoni. Ukijenga huo utamaduni itakuongezea heshima kwenye nyumba yako hata kabla haujaingia ndani ya nyumba yako utaona mke au watoto wanakukimbilia kukupokea.
  4. Balqior

    Swali kwa wanawake: Ni umri gani mwanaume akifikia kama hajaoa hawezi kuoa tena labda awe na pesa nyingi?

    Habarini, Hili swali nimewauliza hasa hasa wadada wa humu watoe their honest opinions, ila hata wanaume wa humu mnaweza kujibu, Kwenye jamii imezoeleka kuwa wadada wanakua na thamani kwenye macho ya wanaume kuanzia miaka 17, thamani yao inakua kwenye peak kati ya miaka 18-23 (kwenye hiki...
  5. P

    Mke wangu angekuwa anaongea nusu ya anavyoongea na boss wake labda mahusiano yetu yangekuwa na sura tofauti kabisa

    Leo nimemsikia wife akiongea na boss wake namna alivyokuwa anamjibu kwa heshima may be hapa nyumbani pangekuwa hata robo tu ya anavyoongea tungekuwa Bora Sana
  6. Uhakika Bro

    Imani-Potofu ya Kwamba ‘Wasiwasi Ndo Akili’ ni Kiinimacho tu: Uchambuzi wa Kiutafiti kwa Kaulimbiu ya Kataa-Ndoa na Nyinginezo za Mtindo Huo

    Katika dunia ya leo, wasiwasi na mashaka mara nyingi huchanganywa na akili au hekima. Watu wengi wanaamini kuwa kuwatilia mashaka wengine, kuepuka kujitolea, na kukataa mahusiano yanayohitaji uaminifu – kama ndoa – ni ishara za kuwa na akili nyingi au “uwezo wa kuyajua maisha.” Makala hii...
  7. Liverpool VPN

    Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

    Maana ya Ndoa Ndoa ni muunganiko kati ya mwanamume na mwanamke, walio amua kwa ridhaa yao wenyewe kuishi pamoja kama mke na mume mpaka mwisho wa maisha yao ya ndoa. Aina za ndoa kwa mujibu wa sheria Kuna aina mbili tu za ndoa zinazotambulika na sheria ya ndoa Tanzania Ndoa ya mke mmoja na mume...
Back
Top Bottom