Ikiwa tayari umechuma mali zako kabla ya ndoa, ni muhimu kuzungumza na wanasheria kuhusu premarital assets zako. Tujikumbushe watu maarufu waliopoteza na kupata mali na utajiri baada ya talaka.
WANAWAKE
MacKenzie Scott (Jeff Bezos) - Talaka yenye fidia kubwa zaidi duniani: MacKenzie Scott...
Haya mambo hayana formula lakini tunachoangalia ni pattern, wanawake wengi wa kundi hili kuna vitu vingi wanafanana kwenye maisha ya ndoa.
Conditions:
Kwao wawe wawili au zaidi, watoto wa baba moja mama moja
Awe kalelewa na wazazi wote, sio baba na mama walifarakana
Kutakuwa kuna...
Na Paul R.K Mashauri
Kama wewe ni mfuatiliaji wa takwimu mbalimbali, utagundua kwamba, utafiti ndani na nje ya Tanzania unaonesha kwamba idadi ya ndoa zinazovunjika kila siku inazidi kuongezeka na sehemu kubwa ya wanaodai talaka ni wanawake.
Utafiti pia unaonyesha, sababu inayoongoza kwa...
Habari Wana JF.
Kuna ndugu yangu mmoja mtoto wa kwanza wa Baba mdogo wangu wa kike.
Tulimuoza Mwaka Jana mwezi wa 1 ndoa kabisa ya kanisani. Aliolewa na kijana mmoja waliefahamiana chuoni.
Sasa hii ishu mimi nimepata last week na mpaka sasa imeshindikana kusolve Tangu mwaka Jana. Wazee...
S/N
MASWALI
MAJIBU
1
Mtoto wa umri gani analazimika kisheria kubaki na mama pale wazazi wanapotengana au kuachana?
Kwa mujibu wa sheria ya mtoto ya mwaka 2009 iliyofanyiwa marekebisho Mwaka 2019 kifungu cha 26 (1) (a), (b) (c) na (2) inaeleza kwamba endapo wazazi watatengana mtoto atakuwa na...
Ni kisa cha miaka 10 iliyopita lakini mhusika anapitia kipindi kigumu mpaka sasa
Ilifikia kipindi anashinda sana kanisani mpaka anaacha watoto nyumbani, hapiki analipa kanisa kipaumbele, kuchukua pesa za savings kwajili ya zaka na sadaka za kitapeli, anaweza kesha kanisani, n.k. Mume wake...
Katika hali isiyo ya kawaida kutoka ya Wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha Mwanamke mmoja amelalamika kuvunjiwa nyumba aliyokuwa akiishi yeye pamoja na mtoto wake nyumba hiyo imevunjwa na aliyekuwa Mume wake, Baada ya kumpa talaka Mahakani.
Mwanamke huyo anadai kwamba nyumba hiyo walijenga pamoja...
Ukweli mchungu wa chanzo cha Mahusiano na Ndoa kuvunjika ni Wanawake kukataza Waume zao kuwa na Wanawake wengi bila kukumbuka kuwa Mwanaume anatulia na mke mmoja anapofikisha angalao miaka 60 hivyobasi namna ya kuenjoy mahusiano na ndoa zao wakubali waume zao kurusha risasi nje pia wasitake...
Ndugu,Jamaa na Marafiki kwa sasa kumekuwa na Wimbi kubwa la watu kukata tamaa na kuamua kukatisha maisha kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo za kimahusiano,Ukosefu wa ajira, na mambo mengine kama hayo.
Sasa kwa kuwa watu hawa wengi ni waumini wa Madhehebu mbalimbali ni muhimu sasa kanisani...
Kuna kaka (baba) mmoja anakopesha kwa riba, akawa ana date dada mmoja mke wa mtu.... Yule dada na mumewe wakapata dharura, akashauri mumewe wakope pesa kwa mchepuko (mumewe hajui kama mkopeshaji ana date na mkewe) wakaweka nyumba yao kama dhamana.
Penzi likanoga, mume akimpa mke marejesho...
Mwanaume,
NDOA ikishafeli, na Wakati tu mgogoro wa kugombania watoto utapoanza na wewe ukakomaa nao, hapo kaa ukijua tayari umeshindwa kabla hujaanza. Yaani hapo Mwanamke tayari anakuwa amekushinda.
Mkienda Mahakamani, utashindwa.
Ukienda Kanisani, huko pia utashindwa.
Ukienda Ustawi wa...
Mimi ni mkristo na nipo kwenye ndoa kwa muda wa miaka 8 na tumebarikiwa kuwa na watoto wawili sasa ila kuna jambo nililikosea kwa mkewangu na sasa nataka nimwambie ukweli kuhusu hilo sasa kutokana na uzoefu kumhusu kwa kaliba yake naona kabisa ataenda kukiwasha isivyo kawaida na kwa asilimia...
Hello wanachama wa jamiiforums leo ningependa niweke mkasa wangu baada ya kuwa msomaji wa humu ndani kwa muda mrefu.
Niliwahi kuwa na mke hapo miaka ya 2018 hadi 2021, pia nina mtoto moja ambae hadi sasa yupo kwa mama yake japo huwa naenda kumcheki.
Ni mwaka 2017 nilipokutana na huyu binti...
Kuliwahi kutolewa taarifa hivi karibuni kuwa ndoa 300 kwa mwezi (sawa na ndoa 10 kwa siku) huvunjika jijini Dar es Salaam pekee.
Ili kupunguza ama kuondoa kabisa tatizo hili, mimi Sexless napendekeza ndugu wa karibu waoane kama wafanyavyo waarabu na wahindi.
Hili likifanyika litapunguza...
Salaam wakuu, Naomba niende Kwenye mada.
Jamaa yangu kaishi na mchumba wake kwa miaka10 bila ndoa(2012-2022). Waliishi pamoja maisha mazuri japo vimgogoro vya hapa na pale vilikuepo.
Sasa tatizo limeanzia baada ya wawili hao kuamua kufunga pingu za maisha mnamo February mwaka huu. Ndoa imekuwa...
Utafiti unaonyesha kuwa ndoa za Vijijini ndio zinadumu kuliko za Mijini pia unaeleza kuwa ndoa zinazofungishwa kimila ndio zinadumu kuliko zinazofungishwa Kidini na Kikatiba (Kanisani, Miskitini na Mahakamani)
Utafiti unaonyesha Wanawake wa Makabila 20 bora Tanzania wanaodumu kwenye ndoa kama...
Katika kipindi chetu cha Gidi na Ghost asubuhi kitengo cha 'Stori za Ghost' mtangazaji Ghost Mulee alisimulia kisa kimoja kilichohusisha wapenzi wawili ambao ndoa yao ya miaka mitatu ilisambaratika wakati jamaa alipeleka mkewe nyumbani kwao kwa mara ya kwanza.
Ghost alisimulia jinsi mwanadada...
Katika mahusiano kuna watu huwa wanafikia hatua
1.tiyali wameshatoa mahali
2.tiyali wameshatambulisha kwa wazee
3.tiyali wameshatoa posa
Alafu linabakia swala la kufunga ndoa dakika ya tisini mambo kukamilika mtu mmoja anazingua hatokei siku ya harusi
mahusiano yanavunjika juu kwa juu...
Iko hivi,
Kuna jamaa ni jirani yangu anapiga mishe kwenye duka la wachina hapo gerezani, wanauza aina mbalimbali za vyuma na mabati ya mageti.
Inavyoonekana jamaa ni anapiga hela ndefu kinyama kwa hao Wachina maana nyumba yake ameiboresha kwa kiwango cha juu sana tangu alipoanza kufanya nao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.