ndoa na familia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Maisha ya ndoa na familia

    Sehemu YA kwanza *(Uandishi wangu si mzuri sana) Jina langu ni Vintage1q. Nimezaliwa mwishoni mwa miaka YA themanini na kukulia ughaibuni kwa takribani miaka 12. Nimezaliwa katika familia YA hali YA chini kabisa na mimi nikiwa ndo mtoto wa kwanza wa kiume. Kukulia na kuishi ughaibuni kwa miaka...
  2. Mwizukulu mgikuru

    Fikra za Mama yangu kuhusu Ndoa na Familia

    Jana nilikuwa napiga story na mama yangu mzazi. Katikati ya mazungumzo yetu, aliniambia kwamba laiti kama yeye angekuwa mwanaume, basi asingeoa. Badala yake, angezaa tu na wanawake tofauti ili apate watoto na maisha yaendelee. Bi mkubwa wangu huyu yupo kwenye miaka 65 sasa. Ninachoamini mimi ni...
  3. AnyWayZ

    Sidhani kama nitaweza kuishi na mwanamke mimi. Wengine mnawezaje?

    Asalaam, Hawa viumbe, mimi huwa siwaelewi wanataka nini hasa ili kujenga amani na furaha kwa mara nyingi maana mara zote haiwezekani. Wao ni watu wa mood swing, mimi siwezi kazana na hisia za mtu mzima wakati kala kashiba, pesa nimempa na moto nimempelekea. Mimi hata niwe na magumu kiasi gani...
Back
Top Bottom