Mara nyingi mahusiano ya wanandugu huwa yanaharibika / kupungua pale wanapo oa au kuolewa , kuna wengine akili zinabadilika anaanza kutumia akili ya mke au mume zaidi na kudharau mambo ya familia aliyotoka.
Wanaume wengine wanaendleshwa na wake zao anafarakanishwa na ndugu zake
Kuna wanawake wakati wanaolewa waliwatukana wasioolewa na kuwaona wabaya na kuwachukulia wana mikosi
Kuna wanawake wakati wanaolewa waliwaona waliozalia nyumbani kama vile wana tabia mbaya wameshindikana na kuwadharau
Kuna wanawake wakati wanaolewa walijiona wazuri kuliko wasio olewa na hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.