ndoa na ndugu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mahusiano ya ndugu yanaharibika wakiingia katika ndoa

    Mara nyingi mahusiano ya wanandugu huwa yanaharibika / kupungua pale wanapo oa au kuolewa , kuna wengine akili zinabadilika anaanza kutumia akili ya mke au mume zaidi na kudharau mambo ya familia aliyotoka. Wanaume wengine wanaendleshwa na wake zao anafarakanishwa na ndugu zake
  2. Ndoa isikufanye ugombane na ndugu, jamaa, marafiki

    Kuna wanawake wakati wanaolewa waliwatukana wasioolewa na kuwaona wabaya na kuwachukulia wana mikosi Kuna wanawake wakati wanaolewa waliwaona waliozalia nyumbani kama vile wana tabia mbaya wameshindikana na kuwadharau Kuna wanawake wakati wanaolewa walijiona wazuri kuliko wasio olewa na hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…