Fungukeni Kama Vase za Dizasta vina, Wengi Wamepita Wanalia na kutovumilia na kuachana na Wenza wao . Tumeona Wasanii Mbali mbali wameachana na Wake zao Kama Alikiba,Omydimpoz,Nay wa Mitego nk
Katika Mapenzi Wakati Mwingine Gharama za Maumivu ya Mtu Mwingine ndio Gharama za Furaha kwa Mtu au Watu Wengine...Sikia!
Elie Taktouk, ambaye Ni Milionea Mwenye Asili ya Lebanon alifunga Ndoa na Mwanamitindo Mlimbwende Mwenye Asili ya Lebanon pia Mwanamama Daniella Semaan,Mrembo Kweli kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.