ndoa ngumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pdidy

    Usipige kelele ndoa ngumu fanya fammy mapping utabeba mizigo isiobebeka aka misukule ya ukoo..

    NAHII SIO KWENYE NDOA TU HATA WEWE UNAETESEKA NA MAGONJWA MAISHA MAGUMU NENDA KAANGALIE CHUNGUZA WAZAZI WAKO BABU ZAKO WALIISHI MAISHA GANI WAPI WALIWAHI KUKOSEA TUBU KWA AJILI YAOOOO KUNA FAMILIA ZINATESEKA NA LAANA ZA UKOO MABABU KWA MABABU YAAN KWA SASA LABDA WANA VIZAZI VYA SABA HAKUNA WA...
  2. Stroke

    Kweli ndoa ngumu, binti anataka kuolewa na boda boda

    Nasikiliza mazungumzo ya mama na binti yake hapa. Binti anajaribu kumshawishi mama yake amruhusu aolewe na dereva boda boda. Binti: lakini mama huyu ni muelewa. Mama : kwanini usitafute kijana msomi kama wewe. Hivi kweli biashara zao zinaweza kuendesha kweli?? Binti ni pisi kali mno...
  3. Liverpool VPN

    Ndoa ngumu sana ndugu zangu; kwenye ndoa zenu kuna watoto wetu

    INTRODUCTION Eeeh bwana eeeh! Wazima humu na Heri ya pasaka sanaaa. NB: Sina maana yoyote ya kudhihaki kutokana na kichwa cha habari. Anyway baada ya salama twende kwenye mada. SCENARIO Nina jamaa angu huu mtaa lilipo duka langu. Huyu jamaa angu yamemkuta MAKUBWAAAA kwenye ndoa yake (Tumuite...
  4. K

    Kuna wanaume wanaishi kwenye ndoa ngumu nyie

    Nimeona video mtandaoni mwanamke mmoja kwenye party ya wanawake wenzake anajigamba kwamba ametoka nyumbani kwake hajaaga ila kampa mumewe taarifa tu kwa vile tu yupo financial stable. Imagine mke wako anajitapa hivi mtandaoni uko ndani hali ikoje mkeo anatoka kwako bila taarifa how, si anaweza...
Back
Top Bottom