Wachezaji wa klabu ya Yanga wakiwa wameambatana na Afisa Habari wao Ali Kamwe kwenye harusi ya Mchezaji Aziz Ki na Hamisa Mobetto.
Soma, Pia: VIDEO: Aziz Ki tayari amefunga ndoa, ala kiapo cha kuwa mume wa Hamisa Mobetto
Aziz ki na Hamisa Mobetto wanafanya sherehe ya ndoa yao (Harusi) hii leo
Wakuu
Fundi wa ball ashavuta jiko
Aziz Ki amekamilisha kiapo cha ndoa msikitini na rasmi ni mume wa Hamisa Mobetto.
Soma, Pia
Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Tsh. Milioni 30
VIDEO: Fuso mbili za Ng’ombe, Mahari ya Hamisa Mobetto
Wakuu
Kama mnavyojua jambo lao ni leo (MAHARI DAY 15TH FEB 2025)
Soma: Aziz Ki aachia video akimvisha pete Hamisa Mobetto na ujumbe mzito wa siku ya Valentine
Afisa Habari wa Yanga Ally Kamwe ameweka wazi kuwa Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Shilingi Milioni 30
Mchezaji wa soka maarufu, Aziz Ki, amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu mapenzi yake na mpenzi wake, Hamisa Mobetto. Akitumia mtandao wa kijamii wa Instagram, Aziz Ki ameandika ujumbe wa kipekee kwa Mobetto, akimtakia Siku ya Valentine na kuelezea jinsi alivyojisikia kuhusu uhusiano wao saa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.