Ndoa ya Kikristo ina Vigezo Gani
Hii ni ndoa inayofungwa katika kanuni timilifu za Mungu alizozikusudia tangu mwanzo.
Vigezo vinavyohusika vimeainishwa katika sehemu zinazofuata hapo chini.
Wote wawe waumini
(2Wakorintho 6:14-18)
Kuamini si lazima muwe katika viwango sawa kiroho, lakini wote...
Ninaandika haya nikihisi huzuni na machafuko. Mimi ni msichana ninayejipenda na kujiheshimu, lakini nimejikuta katika hali iliyojaa maumivu na kutokueleweka. Nimeolewa kwa miaka mitatu, na nilianza ndoa hii nikiwa bikira, nikijivunia ahadi za ndoa za Kikristo. Lakini sasa, nadhani nimeingia...
Katika sheria za dini za kikiristo ni kwamba hurusiwi kuongeza mke na kifo pekee ndicho cha kuwatenganisha, kinyume na hapo ni nje ya sheria za ukristo.
Sasa inapotokea mfano mke wako ama mume wako anafungwa jela miak 30 ama hata kifungo cha maisha na bado hamna hata mtoto, ndoa bado ilikuwa...
Na kama kuna kanisa linavunja ndoa nje ya hizo sababu basi ni wazi hawaheshimu dini yao.
Huko mahakamani kumekuwa kimbilio la kwaristo wengi kuvunja ndoa kwa sababu zingine kabisa nje ya hizo mbili.
- Mke anamnyima mume unyumba mwaka, Mwanaume rijali viungo vyake vimeumbwa na Mwenyezi Mungu...
Wengine walisema ni miaka 100
Mh. Mbowe akasema ni wa "Milele"
Tundu Lisu amesema Yeye hajaona palipoandikwa miaka 100
Ndio nikakumbuka kiapo cha Ndoa za Wagalatia "alichounganisha Mungu Binadamu asikitenganishe"
Sasa kuna mzee mmoja Visiwa vya Ukerewe alimuacha mkewe wa Ndoa na Kanisa hilo...
---
Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) wameandamana mpaka nje ya Ofisi ndogo za Bunge Dar es salaam kushinikiza Spika wa Bunge, Dkt.Tulia Ackson kuwaondoa Wabunge 19 ambao waliapishwa kuwa Wabunge huku wakidai hawakuteuliwa na Chama hicho.
Video: BAWACHA wakifanya maandamano
Baada ya ofisi...
Kwa kipindi kirefu nimekuwa nasita kuoa, kwa umri wangu wa miaka 28 nimeona ni wakati sasa niwe na ndoa official, Si mara ya kwanza kufikiria hili jambo, ni tangu nipo 25 nafikiria ila sheria za ndoa za kikristo zilikuwa zikinipa hofu kubwa mno hasa kwa tunayojionea kwa wahanga, Ni lazima...
Habari wadau.
Naona post nyingi za watu kutafuta wenza wa dini zote.
Pia hata mitaani naona watu wakihangaika kusaka wenza..
Huwa nashangaa sana na waislamu nao wanahangaika kusaka wenza kama mke na mume.
Uhalisia naona kama waislam ni rahisi sana kupata mwenza kwenye mazingira yeyote