ndoa ya mapacha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Kenya: Pacha wawili waomba kuolewa na mwanaume mmoja ili wasitenganishwe. Jamaa akubali kuwaoa

    Huko Kenya, pacha wawili wamemuomba mwanaume mmoja awaoe ili wasitengane. Pacha hao wenye miaka 20 wamesema hawataki kutenganishwa hivyo waolewe na mwanaume mmoja. Bwana Oleman Learat mwenye miaka 26 amekubali kuwaoa Anna na Emily wenye miaka 20 ili tu wasitengane. Soma mwenyewe hapa chini...
Back
Top Bottom