Moshi. Mke wa Mwenyekiti wa TLP, Agustino Mrema, Doreen Kimbi amesema hakufuata mali kwa mwanasiasa huyo, kwakuwa anayejiweza kiuchumi.
Doreen ameyasema hayo leo Alhamisi Machi 24 baada ya ndoa yao iliyofungwa katika kanisa Katoliki jimbo la Moshi parokia ya Uwomboni mkoani Kilimanjaro...