ndoa yako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kuifanya ndoa yako kuwa bora zaidi na imara hebu zingatia haya machache

    uzi huu nikwaajili ya watu wote yani wale waliopo kwenye ndoa na hata wale ambao bado hawajaingia kwenye ndoa hebu zingatieni vitu hivi ili kuifanya ndoa yako kuwa bora na yenye furaha zaidi, ndoa yenye amani, upendo, uvumilivu, kujali, kusaidiana, kusikilizana, kuelewana n.k kulingana na...
  2. Kijana ukioa tegemea uchungu huu ndani ya ndoa yako na huyo mkeo hakika na waambieni

    Ndugu zangu salaam Wazee watawaambia huo ndiyo uanaume, wanaume tumeumbwa mateso mwanamke hawezi kukushinda ila kaa ukijua unachezea moto utakaokuangamiza muda siyo mrefu, acha umwamba na kusikiliza maneno ya wazee jipende kijana, hao wazee ndoa zao hazikua kama hizi za kwetu. Wenyewe kila...
  3. Kabla hujaoa Usukumani, zingatia haya ili ndoa yako idumu

    Hakuna mwanamke wa kisukuma asiye na chale mwilini. Familia za kisukuma kupeana connection za waganga konki ni jambo ka kawaida, usishangae siku mkeo anapigiwa simu na mama yake kuwa aombe ruhusa kwako li akampeleke kwa mganga mpya. Ni mara chache sana kukuta mwanamke wa kisukuma ni tasa, kwa...
  4. Wanaume tuwe makini na sehemu tunazotaka kuoa

    Mimi naweza kufafanya kitu kibaya kabisa kwa majibu ya chooni kama haya. Sina maneno mengi ila inasikitisha sana kwa hali ilivyo siku hizi hawa wanawake watatuuwa tukiwa bado vijana wadogo kabisa. Pia tuwe makini na sehemu tunazotaka kuoa wanaume.
  5. D

    Pigana na Adui mwovu shetani kwenye ndoa yako

    Ndoa ni moja wapo ya shabaha zinazotamaniwa na adui kushambulia kwa mishale ya moto. kwa sababu akifanikiwa kuharibu ndoa, itasababisha uharibifu mkubwa kwa familia na jamii kwa sababu hii ni mara nyingi shetani. hutumia udhaifu wa kibinadamu wa kawaida kushambulia akili ya mwenzi (wivu...
  6. Kama hujawa tayari kuishi na kuiheshimu ndoa yako ni bora ubaki peke yako na uhuru wako

    Tazama Hapa tukio la FUMANIZI la jamaa mmoja ambaye alifanikiwa kumfuma mke wake wa ndoa akijivinjari na mwanaume mwingine nyumba ya jirani. Angalizo: Punguza Sauti Kama upo kwenye watu wengi https://www.instagram.com/reel/C5pbVlzIiGv/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg== Kama mtu hujawa tayari kuitumikia...
  7. Je, unajutia ndoa yako, na kwa nini? (Do you regret your marriage, and why?)

    Habari za wekend. Wanandoa nina swali kwenu Je, unajutia ndoa yako, na kwa nini? Wazungu wanasema Do you regret your marriage, and why?
  8. Kuvunjika kwa ndoa siyo sawa, Jamii inapaswa kubadilika

    Ukweli usiopingika....! Kuvunjika kwa ndoa nyingi kwa miaka hii imekuwa kama kitu cha kawaida sana kwa watu, imekuwa kama fasheni watu hawaoni shida kuoana ndani ya kipindi kifupi wanakuwa washa achana. lakini jambo hili siyo sawa hata kidogo ningependa kuona jamii ikibadilika. Pamoja na...
  9. Single mother utalindaje ndoa yako kama hili likitokea kwenye mahusiano yako mapya?

    Habari wana JF. Nina ndugu yangu mmoja upande wa mama, yeye KE. Miaka kama 10 hivi iliyopita alikuwa na mahusiano na Jamaa mmoja hivi, walikaa muda tuu mpaka mahusiano yao yakazaa mtoto. Lakini baada ya kujifungua Jamaa alimkwepa sister. Si unajua wanaume kwa kukimbia watoto wapo. Jamaa akawa...
  10. Kama aliyekufungisha Ndoa hajasajiliwa RITA, ujue Ndoa yako ni Batili

    Ni kama hukumu ya Mahakama iliyoharamisha ndoa ya mbunge wa zamani wa viti maalumu (CCM), Vicky Kamata na Dk Servacius Likwelile imewaamsha wanandoa wengi kuhusu uhalali wa ndoa walizonazo mbele ya macho ya sheria. Hukumu hiyo inaelezwa kuibua mambo matatu ili ndoa iwe halali, moja ni lazima...
  11. Mambo unayopaswa kufanya mwanaume pale ndoa au mahusiano yako yanapovunjika

    Nasema na wanaume kwa sababu nimesikitika kuona wanaume wakiwa wanarudia makosa yaleyale mara pale mahusiano au ndoa zao zinapovunjika na kujikuta wanapoteza muelekeo wa Maisha yao. Listen; 1. Mwanaume hutakiwi kurukia mahusiano mapya kabla hujaacha 100% yale yaliyopita. Ukisha achana nayo jipe...
  12. Bila ya kumpa mumeo nafasi yake ya Ufalme, ndoa yako haitakuwa na furaha

    Mwanaume ni mfalme ndani ya nyumba, usipompa heshima yake, hiyo ndoa iko mashakani. Hamna mfalme asiyetaka kuheshimiwa.
  13. Ngono na kifo vipo karibu, umeoa/umeolewa tulizana na ndoa yako

    Habari wa jukwaa, Kuna watu wengi wanafeli hapa, unakuta mwanaume kaoa halafu anamtamani mke wa mwenzie. Hivi siku ukamfuma wa kwako itakuwaje? Jambazi akiibiwa uwa anaua, lakini yeye hajui kuwa mtu akiibiwa huwa anapata matatizo gani. Ukioa punguza mihemko, maji ndio yale yale sema visima...
  14. Mwanaume: Weka Ndoa yako pembeni halafu itazame upya

    Wazee wenzangu wakulugwa tumepigwa saana.... Wasalaam?! Nikiri nilikua na ndoa swafiii, ila sasa imeota mbaya kwakua mwenzangu alinogewa na show ya nje nkaona sio shida nkamwambia ahamie kabisa japo niliumia. Sasa naishi kisela kijana wa watu mwanzo niliwahi majuku kabla miaka hata 30 nshaoa...
  15. Adult Talks: Kwa kupitia ndoa yako. Unawashauri vipi ambao hawajaoa?

    Achana na ile misemo ya mtaani, kwamba kama unapata kila kitu kwenye mahusiano, basi ndoa haina umuhimu. Au wale wanaosema ukishamuweka ndani basi anaota mapembe. Ukweli ni kwamba huwa inafikia point in this life unahitaji kusettle down. Kwamba hata kama ni kichomi au kivuruge unaamua tu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…