Nimekaa nikajuiliza kwanini hawa majiarani zetu(wakristo) hutumia nguvu kubwa saana mambo ya kuoa mke zaidi ya mmoja kama walivyo waislam wasukuma wamasai nk
But suala la ajabu wanaume kwa wanaume kuoana kanisa linabariki mara utasikia UK jamaa kaoa mbwa mara kuna mwanamke kao mwanamke mwenzie...
Ndugu zangu Watanzania,
Mwamba wa kaskazini na kijana jasiri kuwahi kutokea kusini Mwa jangwa la Sahara Mheshimiwa Paul Makonda ameunguruma na kuitikisa Dunia mpaka viunga vya Washington DC Marekani.
Ametoa kauli ambazo zimeitetemesha mpaka Ikulu ya Whitehouse Ya Marekani.
Soma hapa ujumbe...
1. Kwa pamoja tukatae ndoa za Jinsia moja. Huu si utamaduni wetu wa-Tanzania, ndugu zangu.
2. Pia, apps zinazohamasisha Ushoga zifungiwe. Hizi apps zimekua msiba Kwa vijana (Hasa wanachuo).
3. NGOs, vituo vya watoto yatima na Sober house zifuatiliwe Kwa karibu. Huko ndo agenda za Ushoga...
Uislamu ni dini inayokua kwa kasi ulimwenguni, jamii hiyo imefanya maandamano ya amani kuunga mkono ndoa za jinsia moja.
Pichani ni waislamu wa uk wakifurahia mwenendo wa maandamano.
Nakuacha na nukuu toka kwa Mtume Muhammad, kipenzi cha Waislamu wakweli.
Kasema Mtume (s.a.w) "Anamwijia...
Naibu Waziri upande wa ulinzi United kingdom ameolewa na mchumba wake wa siku nyingi.
==============
Some personal news: Sydney and I got married a few weeks ago in a small ceremony at Port Eliot in Cornwall.
Sydney is my rock and I’m a very happy man that I get to call him my husband.
When I...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.