ndoa za jinsia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwanini Ukristo unakataza kuoa wake wengi?

    Nimekaa nikajuiliza kwanini hawa majiarani zetu(wakristo) hutumia nguvu kubwa saana mambo ya kuoa mke zaidi ya mmoja kama walivyo waislam wasukuma wamasai nk But suala la ajabu wanaume kwa wanaume kuoana kanisa linabariki mara utasikia UK jamaa kaoa mbwa mara kuna mwanamke kao mwanamke mwenzie...
  2. L

    Paula Makonda amuunga mkono Donald Trump kupinga ndoa za jinsia moja. Asema alizushiwa mengi sana alipokemea uchafu huo kufanyika hapa nchini

    Ndugu zangu Watanzania, Mwamba wa kaskazini na kijana jasiri kuwahi kutokea kusini Mwa jangwa la Sahara Mheshimiwa Paul Makonda ameunguruma na kuitikisa Dunia mpaka viunga vya Washington DC Marekani. Ametoa kauli ambazo zimeitetemesha mpaka Ikulu ya Whitehouse Ya Marekani. Soma hapa ujumbe...
  3. Tukatae ndoa za Jinsia moja - Si utamaduni wetu

    1. Kwa pamoja tukatae ndoa za Jinsia moja. Huu si utamaduni wetu wa-Tanzania, ndugu zangu. 2. Pia, apps zinazohamasisha Ushoga zifungiwe. Hizi apps zimekua msiba Kwa vijana (Hasa wanachuo). 3. NGOs, vituo vya watoto yatima na Sober house zifuatiliwe Kwa karibu. Huko ndo agenda za Ushoga...
  4. Jamii ya Waislamu waishio UK Waandamana kuunga mkono ndoa za jinsia moja

    Uislamu ni dini inayokua kwa kasi ulimwenguni, jamii hiyo imefanya maandamano ya amani kuunga mkono ndoa za jinsia moja. Pichani ni waislamu wa uk wakifurahia mwenendo wa maandamano. Nakuacha na nukuu toka kwa Mtume Muhammad, kipenzi cha Waislamu wakweli. Kasema Mtume (s.a.w) "Anamwijia...
  5. Naibu Waziri wa Nchi wa Bunge upande wa Ulinzi Luke Pollard ameolewa na mchumba wake wa siku nyingi

    Naibu Waziri upande wa ulinzi United kingdom ameolewa na mchumba wake wa siku nyingi. ============== Some personal news: Sydney and I got married a few weeks ago in a small ceremony at Port Eliot in Cornwall. Sydney is my rock and I’m a very happy man that I get to call him my husband. When I...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…