Inasikitisha sana huu uchochezi kufanywa na huyu mtumishi wa Mungu.
Sikutegemea kabisa kuona maneno kama haya yakitolewa na mtu kama huyu
Ningekuwa na mamlaka makanisa kama haya ningeyafutilia mbali.
Hiki ndicho alichokisema:
"Mama zetu walivumilia kwa sababu baba zao hawakuwa tayari...