Ninakwazika sana na unafiki wa serikali na asasi za kutetea haki za watoto.Mmekuwa mnapiga vita ndoa za utotoni na kupigania haki ya kupata elimu.
Mbona wamasai,wasukuma bado wanatabia mbaya ya kuweka oda binti angali mdogo na akibalehe tu wanaoa mpo kimya,huyu binti anakosa haki ya elimu, haki...
Sheria katika nchi nyingi, ikiwemo Tanzania, zimeainisha umri wa chini wa miaka 18 kama kipimo cha mtu kutostahili kupiga kura. Dhana hii inatokana na imani kwamba hawajakomaa kifikra na kimawazo vya kutosha kufanya maamuzi ya kisiasa. Kwa mtazamo huu, ni kwamba kuna wasiwasi kuhusu uwezekano wa...
Ndoa ya kulazimishwa ni hali ambapo mtu amelazimishwa kuoa au kuolewa bila hiari yake. Ndoa ya kulazimishwa inaweza kutokea kwa shinikizo la kihisia, kifedha, kwa matumizi ya nguvu au vitisho, kwa kurubuniwa na wanafamilia, mwenzi, au wengine.
Ndoa hizi zimepigwa marufuku na mikataba kadhaa ya...
Magonjwa ya zinaa, ukatili (wa kimwili na wa kingono), mateso ya kisaikolojia, kupoteza uhuru, na woga pamoja na athari nyingine nyingi mbaya ni baadhi tu ya madhara ya kudumu yanayowakumba waathiriwa wa ndoa za kulazimishwa.
Ukiukaji wa haki za kibinadamu kwa kuwalazimisha wasichana kuolewa ni...
Inasikitisha kuwa katika karne hii ya 21 bado kuna jamii duniani ambazo zinahalalisha na kuwalazimisha wanawake wanaobakwa kuolewa na wabakaji wao, au kuwalazimisha mabinti kuolewa na watu wasiowapenda.
Shirika la Kazi Duniani (ILO) linakadiria kuwa watu milioni 40.3 ni watumwa duniani kote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.