NDOA SIO GEREZA. WANAOSEMA NDOA NI GEREZA NA NDOANO NI WAPOTOSHAJI WAKUBWA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mapenzi na ndoa msingi wake Mkuu ni UPENDO na MFANANO.
Unapotafuta mwenza wako wa maisha huwezi uruka Wala kuupuuza MSINGI huo.
Mtu ambaye hufanani naye hawezi kuwa Mkeo au Mumeo...
Miaka 20 iliyopita ya harakati za kiasiasa za Chadema, ama niseme ilitokea kwa bahati mbaya au ni kushindwa kwa viongozi wa Chadema, wachaga walijikuta wamejeuka kuwa 'collateral' ya kuvishwa uchadema isivo halali. Na ikaonekana na wengi kwamba, Chadema ni chama cha wachaga na wachaga wote ni...
Fungukeni Kama Vase za Dizasta vina, Wengi Wamepita Wanalia na kutovumilia na kuachana na Wenza wao . Tumeona Wasanii Mbali mbali wameachana na Wake zao Kama Alikiba,Omydimpoz,Nay wa Mitego nk
Yaani nikipewa jumatatu, jumanne, jumatano na alhamisi anakuwa amechoka, na tena inakuwa ni kimoja.
Sasa unajua mimi bado ni kijana lakini kuna wakati hili suala linanifanya nakuwa na hasira kwani ni mpaka apende yeye.
Nafikiria kumwacha ila nawaza watoto watakuja kuwa machokoraa.
Nawaza kuwa...
Weekend iliyopita nilikuta watoto wanavua samaki baharini karibu na mapango ya mawe Mida ya saa tano maji yalipokuwa yanajaa. Ikanivutia sana nikaomba nitengenezewe ndoano moja nikajaribu na mimi kuvua ila sikubahatika kupata samaki wale madogo walipata pata sasa nimekaa chini nimefikiria...
Ingawa mimi sio mtu ninayeamini sana katika ndoto ila kama wewe unaamini basi watalaam wako wa mambo hayo ya kutafsiri ndoto wamesema Uvuvi na ndoano katika ndoto ni ishara kwamba mtu anayeota ndoto atapata riziki nyingi za halali na nzuri.
Mwanamke aliyepewa talaka akiona akiwa amelala anavua...
Alikuwa mbishi sana. Anasema Azam decoder ndo kila kitu. Nikamwambia hujui wewe... Sasa juzi kaja kuangalia Ball la WC kupitia DSTV. Amekiri anasema hawa jamaa kweli wana HD ya ukweli.
Nlimwambia kukosa kuwa na DSTV nyumbani unapoishi ni kutokuwa na nyumba kamilifu. Leo ameenda kununua...
Ndoa ndoano ni msemo wa muda mrefu sana ukimaanisha kuwa wawili waingiapo kwenye ndoa hawawezi kuachana na wanapaswa kuvumiliana katika hali zote za shida na raha.Ni kama wavuvi wanavyovua Samaki na ndoano. Samaki akinasa kwenye ndoano basi hawezi kuchomoka.Dini zetu pia zinatuongoza kuwa wawili...
Wakati una kipato chako heshima na utii huwa unaonekana, ukipoteza kipato ndio utajua mkeo ni gaidi kwa kiasi gani.
Inauma sana mke kukuona si lolote wala si chochote kisa tu huna mpunga.
Eti wakuu, kwa Dar wapi mtu anaweza kwenda kuvua kwa ndoano na kurudi na kitoweo. Au akafanya kama burudani lakini ssmaki anapata?
Najua kuna bahari, lakini kuweza kuvua kwa ndoano na kupata mboga ni kitu kingine.
Habari za muda huu wadau,
Nimekuja na kichwa hichi Cha habari, kutokana na juzi Kati tulikuwa na washkaji Kama wanne hivi wote tupo kwenye ndoa, kasoro mmoja wetu, single boi.
Tukajikuta katika mada ya kushare changamoto za ndoa zetu kila mtu kwa muda wake,
Katika kushare experience hizo...