ndogo

Ligi Ndogo Soccer Club (pronounced [liɡi ˈndoːɡo] (listen) or [liɡi ˈndɔːɡo] (listen); also known as The Planets or simply Ligi) is a football club and youth academy based in Nairobi, Kenya. The senior team currently competes in the National Super League, the second tier of the Kenyan football league system. The club's name is Swahili for "little league".
The club's youth academy was founded by current chairman Chris Amimo and Karani Nyamu in February 2002, and in 2005, the first senior team was formed and has played at Ligi Ndogo Grounds along Ngong Road since then. The team briefly used the Nairobi City Stadium in 2012 for its home games while their Ngong Road grounds were undergoing renovations.

View More On Wikipedia.org
  1. Chama ni mchezaji wa game ndogo

    Chama anasifiwa kuwa Bora lakini ukifatilia kwa umakini ni mchezaji wa game ndogo hasa za ligi akiwa Lupaso na vijitimu kutoka Malawi na Zambia Ukimleta kwenye game kubwa za njoo nije anapoteana kabisa. Refer Dabi za dsm au Simba vs Tp Mazembe au Game ya Simba na Kaiza au pirates alipoteana...
  2. P

    SoC02 Sababu za kasi ndogo ya maendeleoya nchi nchini Tanzania

    Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye utajiri wa asili mkubwa duniani, lakini pamoja na kuwa na utajiri huo kasi ya maendeleo ya nchi ni ndogo sana ukilinganisha na rasilimali tulizonazo . Nini chanzo cha hayo yote?1.Kukosekana kwa dira ya taifa. Maendeleo yanahitaji dira kuu ya Taifa ili...
  3. James Mbatia amtembela Majaliwa ofisi ndogo ya waziri mkuu Magogoni

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na Ndugu. James Mbatia, katika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam, Septemba 2, 2022.
  4. K

    Kumbe nyumba ndogo nyingi zina tamani kuolewa

    Kwa kiutafuti changu ktk mazingira yaliyo ni zunguka na story za kitaa. Nimegundua nyumba ndogo nyingi sana zinatamani maisha ya ndoa. Kuna mademu kama wanne nawajua. Kuna mmoja alikuwaga mwandishi wa habari, huyu mdada alizaa na mzee mmoja anafanya kazi UN.Dada ana shape la maana,mzee...
  5. Gap la kukosekana Walimu wengi kwenye zoezi la sensa limeonekana, Serikali mjifunze speed ndogo

    Maeneo mengi walimu walikatwa kwa kigezo kipaumbele kwa watu wasio na ajira sawa ila wakasahau uzoefu katika jambo ni muhimu sana hususani kwenye vitu nyeti kama hivi. Mwalimu ana uzoefu wakurahisisha jambo anajua mbinu zipi zinamuwezesha kufikia lengo site mashahidi hawa makalani wanatumia saa...
  6. Gharama za nyumba ndogo

    Chumba kimoja choo cha ndani sebule na jiko, aproximation gharama ikoje kwa wataalam Nb. Sina family, hata hivyo ni nyumba ya kuanzia maisha tu, msaada kwenye gharama mpaka nyumba inakamilika
  7. House4Sale Tunauza na kupangisha nyumba za aina mbalimbali

    Nyumba ina mwonekano wa kuvutia wa ndani na nje. Ina vyumba vine vya kulala vinachojitoshereza, subure kubwa, jiko la kisasa na mahali pa kula ( Dinning area). Bei 500mil na inaongeleka. Kuiona piga simu au tuma ujumbe kwa whatsapp tupange muda muafaka wa kuiona…0784225000 au email...
  8. Maswali ya waandishi wa habari wetu kwa makocha na wachezaji ni ushahidi wa elimu ndogo

    Baadhi ya Waandishi habari wetu wana walakini ya wazi kabisa. Maswali yao kwa makocha na wachezaji wa nje na ndani yanamtia kichefuchufu hata msikilizaji. Wanaiangusha taaluma ya habari, hayana weledi kabisa. Pia hawajui kiingereza lakini wanataka kuwahoji wachezaji wa timu ngeni.
  9. R

    SoC02 Wamachinga wanavyorudishwa nyuma na taasisi ndogo ndogo za mikopo ya fedha (Microfinance)

    Tanzania ni Moja Kati ya nchi zenye taasisi ndogo ndogo za mikopo ya fedha nyingi zinazokadiriwa kufika zaidi ya makampuni 500. Malengo makubwa ya kampuni hizi za mikopo ni kuisaidia jamii ( wajasiriamali) kuweza kupata huduma za mikopo midogo midogo ambayo hawawezi kupata katika Benki. Hizi...
  10. Bingwa wa mchongo wa NBC Tanzania azalilishwa akiwa nyumban na Tim ndogo sana

    Aibu ya Jana inadhihirisha kuwa lig yetu imeshuka kiwanga na pia inatawaliwa na rushwa,kitendo Cha waamuz wetu kupewa hongo ili waipe Yanga ushindi ndio kimefanya watanzania tuzalilike hapo Jana. Maana haiwezekan bingwa halali apgwe na Tim ndogo namna hyo!!! NDUGu WADAU Wa Soka la Tanzania...
  11. Ushauri: Serikali ipunguze idadi ya watumishi wa umma, iundwe serikali ndogo yenye weledi.

    Habari wananchi na viongozi! Serikali hii ina watumishi takribani laki 7(700,000). Hii idadi si kubwa sana ila ndani ya watumishi hawa kuna kundi halihitajiki sana kwa wakati huu. Mfano: Kazini kwangu ofisi X kuna watumishi wapo wanadibiri kustaafu tu, uhitaji wao wa moja kwa moja umekomaa. Ni...
  12. O

    Biashara ndogondogo Kariakoo

    Habari za kushinda wana JF Nilikua naomba kuuliza wale wanaofanya biashara Kariakoo kama vile viatu, nguo, vitengee na urembo katika soko la Kariakoo. Wanapataje patajee mali je ni Cash au Mali kauli. Anaefahamu Nisaidieeen🙏🙏
  13. Sielewi ni kwanini Rwanda nchi ndogo ichukue wakimbizi kutoka UK

    Heshima sana wanajamvi, Rwanda imeingia mkataba wa kuwachukua wakimbizi waliokimbilia UK kutafuta fursa mbali mbali za kiuchumi na wengine wakikimbia vita vya wenyewe kwa wenyewe. Rwanda ni nchi ndogo sana kwa maana ya eneo huku ikiwa na idadi kubwa sana ya watu.Rwanda ni nchi ya tano kwa...
  14. Rekodi Mpya: Tanzania avuliwa taji la gharama nafuu za Internet, Kenya ndie bingwa mpya East Africa

    Hongereni majirani, kwa sasa nyie ndio mnaoongozea kwa cheapest internet in East Africa. Well, kwa huku kwetu TZ gharama zimepanda sana, kwa sasa GB 1 ni 1,861 sawa na shilingi yenu ya kenya 94. Youtube views za miziki yetu zilivyo drop ni kithibitisho tosha,
  15. Speed ya Gari kubwa vs Gari ndogo

    Kiukweli huwa nasikitika sana nikikuta mtu anasema speed ya gari kubwa mathalani mabasi huwa ni kubwa kuliko speed ya gari ndogo. Unaweza kupitia comments za post niliyoiweka hapo juu. Hoja yao kubwa huwa tairi ya gari kubwa ni kubwa kuliko ya gari ndogo hivyo hivyo tairi ya gari kubwa...
  16. Watumishi wengine elimu zao ndogo lakini wanataka kulipwa mamilioni

    Watumishi wengine elimu zao ndogo lakini wanataka kulipwa mamilioni. Ni huzuni. Certificate anataka kulipwa milioni moja kwa mwezi. Diploma naye hivyo hivyo. Solution hapo ni kurudi shule tu ili ujipandishie mshahara mwenyewe.
  17. SoC02 Kasi ndogo ukuaji wa uchumi wa nchi, chanzo Utawala mbovu: Je, kuna suluhisho?

    Uchumi wa nchi yoyote duniani hutegemea ni kwa namna gani viongozi wa nchi husika wanaongoza/wanatawala nchini mwao. Utawala wa viongozi ukiwa mbovu basi lazima kasi ya ukuaji wa uchumi iwe ndogo. Vilevile Utawala wa viongozi ukiwa bora/mzuri utapelekea ukuaji mzuri wa uchumi. Kwa maana hiyo...
  18. Kwa nilichokiona leo, Watumishi wa Umma wategemee nyongeza ndogo chini ya 10% na sio 23 kama wanavyotarajia

    Kwanza tukubaliane Kiongozi wa nchi huwa anashauriwa na sio kuongozwa. Lkn kila nikitafakari sasa naona wapo wanaotaka kumuongoza kwa nyuma na kumtoa kwenye reli. Kila akipanga jambo Jema kabisa kama tiba na ya vidonda alivyoacha Magufuli watu humuongoza kutonesha vidonda na kumjenga achukiwe na...
  19. Tumia pesa yako ndogo watu wakufanyie kazi

    Inawezekana una kaela kadogo; labda umepata kama mshahara, au kuuza kitu n.k, na ungependa pesa yako ikuzalishie na isipotee. Unaweza ukawekeza kwenye haya makundi:- Wauza mishikaki Wauza matunda Mama ntilie Utaanzaje anzaje:- Tembelea hayo makundi hapo juu Tathmini mauzo yao kwa siku Kwa...
  20. Kwa Tanzania mil 700 ni hela ndogo sana

    Yaaani dalali anaweza kuongeza au kupunguza milioni 700 Kama sio kitu, yaani utafikiri kaongeza jero kumbe ni milioni 700 kabisa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…