Kwenye maisha huwezi kufanya kila kitu, na huwezi kujua kila kitu , japo kuna vitu vidogo vidogo si mbaya kuvijua na kama huvijui jaribu kukaa kimya ili kuepuka na aibu.
Mimi napenda sana michezo kama mpira wa miguu na nimeucheza miaka hiyo.lakini pia ni mfuatiliaji mzuri wa mipira na klabu za...