Namba hazidanganyi!
Kwa mujibu wa takwimu za mwaka 2022, Zanzibar ina ukubwa wa kilomita za mraba 2,460 na watu 1,889,773. Imeuzidi mkoa mmoja tu wa Tanganyika, Dar Es Salaam!
Dar Es Salaam ina ukubwa wa kilomita za mraba 1,393. Hata hivyo, inaizidi Zanzibar kwa idadi ya watu. Kwa mwaka 2022...