Uchaguzi wa Serikali za mitaa Kwa jinsi unavyoendeshwa kwa kweli ni kama mashindano ya mtaani tu maarufu kama ndondo.
Lakini pamoja na hiyo CCM inaonekana imepania kiharamu kushinda uchaguzi huu.
Ingawa watu hawana tena Imani na mifumo ya kuendesha chaguzi hapa Tanzania, lakini CCM wanahaha...
Nimeona leo TRA wamekuwa wafhamini wa ndondo cup.. watasema sijui wanataka kujitangaza?
TRA wanafanya biashara gani? Pesa za walipa kodi ndio wanatumia kwa upuuzi huu?
Sijasema ndondo cup ki upuuzi lakini Mil 40 zinajenga zahanati 1 kijijini?
Kazi ya TRA ni moja tuu, kukusanya mapato na...
"Hela tuliyopata tumeenda kununua Mayai Viza, Kuku Mweusi na Udi na kumpelekea Mganga wetu wa Kienyeji na kwa jinsi tunavyoenda Kuwaroga Watatukoma" Shabiki wa Timu Moja inayoshiriki Michuano iliyosifiwa na inayosapotiwa na Rais wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ya Ndondo Cup' kwa Mikoa...
Kama Mada Inavyosema.
Mimi nimekulia Morogoro na nimecheza sana ndondo miaka ya late 1990's na 2000's nikitokea timu ya Ghetto Boys ya Mvomero.
Katika makuzi yetu tulikuwa tunacheza sana ndondo huko Mvomero na Moro kwa Ujumla na katika mashindani ya Kiwilaya na Mkoa tulikuwa tunakutana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.