ndondo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Leo Baleke ni wa kucheza ndondo Magunia Msasani? Tukana/Kashifu watu wote ila siyo Wazee wa Simba SC kwani huwa hatanii wakikuamulia

    Halafu mwambieni asipoteze muda kuwatafuta Wazee wa Simba SC wamsamehe kwani hiyo 'Pini' ni ya kudumu daima.
  2. LGE2024 CCM hadi mechi za ndondo mnanunua marefarii

    Uchaguzi wa Serikali za mitaa Kwa jinsi unavyoendeshwa kwa kweli ni kama mashindano ya mtaani tu maarufu kama ndondo. Lakini pamoja na hiyo CCM inaonekana imepania kiharamu kushinda uchaguzi huu. Ingawa watu hawana tena Imani na mifumo ya kuendesha chaguzi hapa Tanzania, lakini CCM wanahaha...
  3. TRA kudhamini Ndondo CUP, Pesa hizi wanatoa wapi?

    Nimeona leo TRA wamekuwa wafhamini wa ndondo cup.. watasema sijui wanataka kujitangaza? TRA wanafanya biashara gani? Pesa za walipa kodi ndio wanatumia kwa upuuzi huu? Sijasema ndondo cup ki upuuzi lakini Mil 40 zinajenga zahanati 1 kijijini? Kazi ya TRA ni moja tuu, kukusanya mapato na...
  4. TCRA mmebariki huu Upuuzi wa Viongozi wa Timu za Ndondo Cup Kusifia kufanya Ushirikina Mubashara Redioni Clouds FM?

    "Hela tuliyopata tumeenda kununua Mayai Viza, Kuku Mweusi na Udi na kumpelekea Mganga wetu wa Kienyeji na kwa jinsi tunavyoenda Kuwaroga Watatukoma" Shabiki wa Timu Moja inayoshiriki Michuano iliyosifiwa na inayosapotiwa na Rais wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ya Ndondo Cup' kwa Mikoa...
  5. TUJIKUMBUSHE: Timu Maarufu za Ndondo kutoka mitaa yetu

    Kama Mada Inavyosema. Mimi nimekulia Morogoro na nimecheza sana ndondo miaka ya late 1990's na 2000's nikitokea timu ya Ghetto Boys ya Mvomero. Katika makuzi yetu tulikuwa tunacheza sana ndondo huko Mvomero na Moro kwa Ujumla na katika mashindani ya Kiwilaya na Mkoa tulikuwa tunakutana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…