Wakuu, watu wa sido na wajasiriamali salaaam.
Nina uhitaji na mafuta ya kupaka ndoo moja kwanza lita kumi hadi lita ishirini kwa ajili ya project.
Mambo yakikaa sawa nitaagiza hadi mapipa kwa mapipa..
Mafuta ninayohitaji ni cosmetic grade. Yale mtu anaweza changanya na viinilishe au dawa...