Wadau wa JamiiForums,
Habari za wakati huu. Natumaini mnaendelea vyema katika shughuli zenu za kila siku. Leo ningependa tujadili mada yenye umuhimu mkubwa katika maisha yetu: "Ndoto 20 Zinazoashiria Vikwazo vya Maendeleo Kifedha".
Maana ya Ndoto
Ndoto ni mfululizo wa taswira, mawazo, hisia, na...
Na Da Vinci XV
Nyakati fulani wakati nadurusu maandiko matakatifu nilipata kukutana na andiko moja lililandikwa na watu miongoni mwa watu mashuhuri sana walioishi nyakati zile kabla ya Masiku tele.
Andiko lilipata kusema " KWA MAANA JINSI HII MUNGU ALIUPENDA ULIMWENGU, HATA AKAMTOA MWANAWE...
Nimeota tumeenda nyikani mi na rafiki yangu mmoja ambaye simkumbuki vizuri ila nakumbuka kama alikuja kunipitia ninapokaa
Tukaenda porini/nyikani mbali kidogo na tunapoishi mara tukawaona sungura tukavutiwa kuwakamata na tukaanza kuwafuatilia
Ili tuwakamate,ghafla tukamuona mbwa mwitu kwa...
Habari za wakati huu.
Niko na swali Moja la kuuliza nahitaji msaada.Je hivi ni kweli Kuna baadhi ya watu Huwa hawaoti kabisa Yani hawapati ndoto?
Na kama ni kweli sababu ni nini? Nimejaribu kufuatilia machapisho mbalimbali pasipo kupata majibu.
achana na mambo ya sihri/uchawi mwanadamu ni kiumbe kikubwa sana ila kwa bahati mbaya hatujitambui sisi ni nani.
ndani ya miili yetu there's something called Subconscious mind it work as server katika mfumo wako wa ubongo unakawaida wa kuleta kukusanya na kuleta taarifa hasa ukiwa...
Jamani naombeni mnisaidie sidhani kama nimepost kwenye jukwaa husika lakini kuna ndoto imenichanganya nmeota kwamba,nmejifungua mtoto hospitali lakini akawa katika uangalizi cha kushangaza nilijufungua mtoto wa kiume lakini akabadirishwa akawekwa wa kike nikawa napiga kelele wodini kutaka kujua...
Sijui ndoto zina maanisha nini, ila nikiwa mdogo Sana, nadhani darasa la tano au sita niliota ndoto mbaya sana kwenye maisha yangu. Nililia usiku kucha, asubuhi mama akanipa rosari na bibi akanipa kibronchure za Yoseph Yuda Tade.
Niliota vita, damu nyingi imemwagika, nikawa naenda maeneo hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.