ndoto mtu aliyekufa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Kumuota mtu ambaye ameshafariki inakuwa na maana gani?

    Mara Ninaporudi nyumbani nilipozaliwa huwa namuota sana marehemu mama yangu 🤔 Kwa namna anavyokuja ndotoni ni mtu mpole sana, mkimya,huniangalia na kutabasamu, mara nyingi huwa namuota yupo jikoni au chumbani kwake amepumzika, maana hawezi kufanya tena kazi ngumu, labda kupika tu pekee. Mara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…