Katika dunia hii kila mtu amekuwa akiuchukia umaskini, na familia zisizokuwa na uwezo nazo zimekuwa zikifedheheshwa na watu matajiri wakiamini katika jamii hawana mchango wowote! Leo tunakutana na binti aitwae GORYANAH kwa kifupi muite (GORII )ni binti shupavu mwenye umri wa miaka kumi na saba...