Nakumbuka nilipokuwa form 2 nilianza kupenda sana majibizano na wenzangu kuhusu siasa, yaani ilitokea napenda sana kukosoa serikali kwa kuwa ndiyo kitu simple sana kuliko kusifia sababu ni kwamba toka tunavyopata uhuru fikra zetu zimejengwa kuwa Wazungu(watawala) ni wanyonyaji na wabaya sana...