Wakubwa, kwema?
Naomba msaada wa hii ndoto, imeota nikiwa nakula (vingine sikumbuki).
Cha ajabu ni ndani ya dakika 17 tu nilizopitiwa na usingizi, hii imekaaje?
Habari wana jamvi?
Kama kichwa kinavyojieleza nimeanzisha thread hii ili itusaidie sisi kujua je hizi ndoto zinatofautiana au sawa kwa watu sawa au wanaoishi maeneo tofauti lakini zinakuwa na maana moja au ni tofauti?
Andika ndoto yako ya usiku wa leo hata siku zijazo utakazoota hii...
Wasalaam
Usiku wa kuamkia leo niliota nimevamiwa na majambazi, nikaamka kuangalia saa ni saa tisa na dakika nne usiku. Nikatoka sebuleni nikaona mtu ananifanyia ssssssssssssshhhh kuashiria nikae kimya nisitoe sauti cha ajabu ila huyu mtu anafanana na Steven Seagal (sura yake) ghafla ile sura...
Wakuu habari, this is urgent naomba msaada. Niende moja kwa moja kwenye mada mambo yasiwe mengi.
Nimelala saa nne usiku huu saivi ni saa 7, nilichokurupukia ni ghafla tu nmegundua siko salama, ngozi inavutana na vinyweleo vimesisimka. Nasikia milio ya panya ile (swi swi swi).
Siko usingizini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.