Mjadala umeibuka nchini baada ya Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la JMT iliyoachwa wazi baada ya Ndugai kujiuzulu. Hoja bishaniwa imekuwa ni iwapo Dk. Tulia ana sifa au la za kugombea nafasi hiyo.
Kwa mujibu wa Sheria ya Kinga, Haki na Madaraka...
Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nachukua nafasi kupinga uamuzi wa CHADEMA kumpa nafasi ya kugombea urais wa JMT 2025 spika aliyejiuzuli ndugu Ndugai.
Hili suala halihitaji unabii kwamba CHADEMA wanatamani spika aliyejiuzulu ahamie kwao hata...
Ni kawaida ya binadamu kusahau huo ndiyo ubinadamu wenyewe lakini kwa bahati mbaya kabisa Watanzania tu wasahaulifu kupita kiasi, au ni siasa tu kwa kila jambo hapo sielewi vizuri.
Kwa maoni yangu Mhe. Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika sakata hili la Spika yuko sahihi kwani...
Haya yote yanayotokea na kushangiliwa hayana lolote katika ustawi wa Taifa hili.
Tunakwenda kuangamia. Jana/Juzi kitendo cha kumkemea Ndugai hadharani akajiuzulu, maana yake Bunge limesalimu amri kwa Executive. Kinachofuata ni kumalizia Mahakama maana alishaianza kuiua.
Matokeao yake unaweza...
Kwanza ni mfuasi na kiongozi mwandamizi wa lile kundi alilotoka Ndugai, kundi lililotaka Rais Samia asigombee 2025 na kupanga mikakati ya kumdhoofisha Mh. Rais.
Pili ni mtu asiyeamini katika kazi za Rais Samia, Tulia hakuwahi kuvaa barakoa wala kuhamasisha chanjo hadharani sio ndani wala nje ya...
Ni wazi kuwa Spika Ndugai imejiuzuru uspika wa bunge la Tanzania kwa shinikizo la chama chake cha CCM baada ya kutofautiana kimtazamo na Rais Samia Suluhu ambaye ndio mwenyekiti wa CCM taifa.
Upande wa pili pia, utendaji wa Ndugai akiwa spika wa bunge la Tanzania kwa sehemu kubwa ulikuwa...
Pamoja na kuwa muungwana na kuamua kujiuzulu nafasi yake ya uspika wa bunge la JMT, kuna uwezekano mkubwa Job Ndugai akajiuzulu nafasi yake ya ubunge wa jimbo la Kongwa kwa tiketi ya CCM kwani ubunge wake ndio ulipelekea kuchaguliwa na wabunge wenzake kuwa spika wa bunge. Hivyo basi, itakuwa...
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo leo Januari 06, 2022 ikiwa ni siku chache tangu kusambaa kwa video ambayo alinukuliwa akisema ipo siku Nchi itapigwa mnada kutokana na madeni
Amesema ameandika Barua ya kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wa CCM na uamuzi huo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.